Siasa ni nyenzo ya urafiki, si fimbo ya kuwachapia maadui

Nov 6, 2016
51
140
SIASA NI NYENZO YA KUJENGA URAFIKI NA MAENDELEO, NA SI FIMBO YA KUWACHAPIA WENZAKO

Na Comrade Ally Maftah

Moja kati ya jambo lililonipa furaha kubwa ni kuwa katika siasa tena za Chama cha Mapinduzi.

Nikiwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi katika wilaya ya kinondoni nimepata bahati kubwa ya kukutana na watu wazuri na wenye upendo.

Tumejifunza kwa pamoja kwamba kuijenga nchi yetu ni kuujenga upendo wenye kuleta hamasa za kijamii na kiuchumi.

SIASA KAZI MAARIFA
Kitabu bora kinachobeba zana ya siasa za uchumi na ujamaa wa kweli.

Ndimi
Comrade Ally Maftah
Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM na Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam

IMG-20240228-WA0088.jpg
 
View attachment 2919836
wangekua na upendo wa kweli kwako, wangekuambia ukweli kwaamba hicho unachoweka kichwani kinawatia aibu na kinyaa wao na wewe mwenyewe, achana nacho comrade 🐒
 
wangekua na upendo wa kweli kwako, wangekuambia ukweli kwaamba hicho unachoweka kichwani kinawatia aibu na kinyaa wao na wewe mwenyewe, achana nacho comrade
OK KAMA AMBAVYO WANAMWAMBIA PACOME, AU KOFI OLOMIDE, HONGERA KA KUWA NA AKILI NDOGO ISIYOJAA HATA KWENYE KISUDE, KAMA AKILI NI MAJIMAJI BASI ZAKO HAZITOLOWESHA HATA KARATASI
 
comrade unajiabisha na kujifedhehesha mwenyewe na chama kwa ujumla,
kwa kujaribu kulazimisha muonekano wako uwe kama pacome au Koffi Olomide 🐒 🐒

ni ngumu sana,
Lakini mbona mbona wewe ni mwema tu na sura yako nyepesi kabisaa ya KIRANGI 🐒
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom