Ni HAKI mbunge kuwauzia wapiga kura jimboni maji au sukari?

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,103
22,542
Salaam ,Shalom!!

Kwa Mfano hapa Dar Es Salaam na maeneo mengine penye uhaba wa maji na shida ya kupatikana maji,

Ni HAKI Kweli mbunge wa kuchaguliwa na wananchi kutuuzia wananchi maji kupitia kampuni zake?

Shida ya maji itakuja kwisha Kweli?

Ni sawa Kweli wabunge kupitia kampuni zao kupewa vibali vya kuagiza sukari nje?

Tatizo la uhaba wa Sukari litafika mwisho?

Wananchi tuamke na kuwapumzisha viongozi Hawa Ili wajikite katika biashara zao.

Muda ni sasa 2024&2025.

Karibuni.
 
Salaam ,Shalom!!

Kwa Mfano hapa Dar Es Salaam na maneno mengine penye uhaba wa maji na shida ya kupatikana maji,

Ni HAKI Kweli mbunge wa kuchaguliwa na wananchi kutuuzia wananchi maji kupitia kampuni zake?

Shida ya maji itakuja kwisha Kweli?

Ni sawa Kweli wabunge kupitia kampuni zao kupewa vibali vya kuagiza sukari nje?

Tatizo la uhaba wa Sukari litafika mwisho?

Wananchi tuamke na kuwapumzisha viongozi Hawa Ili wajikite katika biashara zao.

Muda ni sasa 2024&2025.

Karibuni.
Huoni SGR kila siku wanafanya majaribio huku Shabibi, Msukuma, Abood, Ndugai wananunua mabasi mapya
 
Ni HAKI msukuma kututoza nauli tukipanda mabasi yake?

Atatetea nauli zishuke?
 
Back
Top Bottom