Mnyika: Tukitaka kuongeza idadi ya wapiga kura imani katika mifumo ya uchaguzi iongezeke

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,565

Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema Serikali inakwepa kutoa tathimini ya kwa nini idadi ya wapiga kura inapungua nchini, ila kwa tafiti walizofanya, wamegundua wananchi wamepoteza imani na mifumo ya uchaguzi nchini.

Akizungumza katika kongamano lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Jumatatu Machi 11, 2024, Mnyika amesema: "Tukitaka kuongeza idadi ya wapiga kura imani katika mifumo ya uchaguzi iongezeke, tudai Katiba mpya na marekebisho ya sheria.Lazima tutengeneze uwanja sawa wa kiuchaguzi hayo yatatengeneza mwamko wa mabadiliko.’’
 
Mnyika Yuko sahihi, hakuna mtu anayejitambua ataendelea kushiriki hizi chaguzi za kitoto. Ns sababu haswa ya watu kutokujitokeza kwenye uchaguzi, ni kwa sababu hizo chaguzi zimekuwa za kiyawani. Inshort hakuna uchaguzi, Bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.

Wanaojivunia chaguzi hizi, ni wanaofaidika na ubovu wa mfumo wenyewe. Machafuko, au mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mabadiliko ya kweli. Ni mtu mjinga tu, ataendelea kushiriki kwenye uchaguzi ambazo matokeo hayaendani na ukweli wa kwenye box la kura.
Lucas mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable KARLO MWILAPWA
 
Wanaodai Kuna ubovu wa mfumo ni wale waliokataliwa na Wananchi kwenye kura Sasa wanatafuta kuingilia mlango wa nyuma au dirishani 🤣🤣

Just imagine wewe na mnyika mkipatanachotafuta Mimi na familia yangu mtaniongezea ugali mezani? Acheni ujinga basi
 
Zile chaguzi za kihayawani wananchi wanatokea wapi? Ama mnadhani sisi ni vipofu hatuoni kinachofanyika kwenye chaguzi zetu? Ama mnadhani hizo mbinu mlizokuwa mnatumia kuhadaa umma miaka yote Bado zifanya kazi hata Sasa?
 
Nyie ni vipofu ndio,zingekuwa za kihayawani si Wananchi wangeandamana ? 😆😆
 
Mbona umeme ni janga hawaandamani, nauli zinapanda Kila siku hawaandamani? Au kutokuandamana ndio dalili kuwa kinachifanyika ni kitu sahihi?
 
Back
Top Bottom