Mungu fundi: Kutoka kwenye maono ya kuwa Air Hostess hadi kuwa nafasi ya juu

Pantosha

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
347
462
Binadamu yeyote mwenye akili inayofanya kazi huwa ana maono/ ndoto ya kuja kuwa mtu fulani katika jamii.

Maono haya yanatokana na uwezo wa mtu wa kufikiri, mazingira, elimu aliyonayo, vitu anavyoona au kusikia.

Katika mazingira yote hayo, mtu mmoja alikuwa na ndoto ya kuja kuwa air hostess/flight attendant.

Mungu aliyetuomba sote na kumpangia kila mtu nafasi yake kwenye dunia hii akamwambia wew utakuja kuwa zaidi ya hapo.

Achana na mambo ya flight attendant. Na ikawa hivyo.

Kwa kweli Mungu fundi.

Na kwa kuwa ni mteule wa Mungu, hatuna budi kumuombea ili atekeleze yale Mungu aliyomuandikia kutekeleza.

Kuijenga kwa namna yoyote ile. Iwe kwa maendeleo yatakayoonekana kwa macho au kuharibu. Mpango wa Mungu lazima utimie.

Alhamdulillah,
Tumsifu Yesu Kristu,
Bwana Yesu asifiwe.
 
Kila mtu alikuwa na ndoto yake lakini Utawekwa pale unapostahili paws Juu au chini ,upapende au hapana utafanya wito huo.

Nina uhakika asilimia kubwa mnafanya Yale ambayo haikuwa ndogo yenu nikiwemo Mimi.
 
Back
Top Bottom