Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana tulikuwa na Mkutano Mkuu wa Mtaa ulioitishwa na CCM kuelezea wananchi wa Mtaa ilani ya Chama Cha Ma;induzi yaani utekelezaji wa shughuli za maendeleo tangu Awamu ya sita iingie madarakani na...
1 Reactions
3 Replies
565 Views
Sikushangaa kuona mchele wenye virutubisho. Huo haukuja kwa bahati ni baada ya siku mbili tu kupita baada world bank kuitahadharisha tanzania juu ya wananchi wake kuendelea kuzaliana kwa wingi...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
TANI 20 za mchele mbovu pamoja na tende tani 4.1 zimeteketezwa katika shehia ya Pujini Wilaya ya Chake Chake baada ya kuonekana bidhaa hizo hazifai kwa matumizi ya binadamu. Akizungumza baada ya...
1 Reactions
6 Replies
909 Views
Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake. Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa...
0 Reactions
12 Replies
936 Views
Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka mjini Bukoba , kama ilivyosambazwa na Mwananchi Digital . Zaidi jionee Mwenyewe Kigogo wa zamani wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mkoba...
11 Reactions
87 Replies
7K Views
Nampongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kufanyiwa sara ya TOBA. Sio tu toba alitambua umuhimu wa paroko akaitwa na kadinari pengo nae akawepo akafanyiwa sala ya toba na kufa. Hii ni inshara TOSHA...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimeyasikiliza na kuyasoma maelezo ya CDF juu ya dakika za mwisho za Hayati John Magufuli. Kwa imani ya kikatoliki, na nadhani ya wakristo wote: 1) Dakika za mwisho huamua mwanadamu aende wapi...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimemwelewa sana Lema. Huwa kuna kipindi tunapishana lakini katika hili ana hoja. Miaka kadhaa tulipokea mahindi ya Yanga baada ya vita vya Kagera toka USA. Tuambiwe tulipata madhara gani. Dawa...
4 Reactions
5 Replies
505 Views
Mama kaenda Marekani kaja na wali wenye virutubisho, Tanzania yenye ardhi yenye rutuba asilimia 80 mvua inayonyesha na maji yanayotiririka masaa 24, Tanzania yenye amani isiyo na vita, Tanzania...
1 Reactions
10 Replies
800 Views
Habari JF, vita ya Uchumi kuanzia mitaani, mirathi na makazini hata iwe ndogo haijawahi kuwa nyepesi na haijawahi acha mtu salama. Ukiwa kiongozi wa juu nchi za Africa huwa hakuna vita nyepesi ya...
22 Reactions
129 Replies
5K Views
Kesho ni siku muhimu sana ya kukumbuka mtanzania aliyekuja kuleta mabadiriko ya fikra , alikuja ghafla na kuondoka ghafla. Kuna mengi sana ya kujifunza toka kwake, na ameacha alama nyingi ambazo...
30 Reactions
112 Replies
5K Views
Kinachoendelea kwa sasa ni siasa za kuzima kelele kupitia magezeti na mitandao. Nikiwa kama mtanzania, nashauri IKULU iunde SPECIAL FORCE kuchunguza malalamiko ya wananchi na uhalisia wa kitita...
0 Reactions
4 Replies
695 Views
Najua kwamba katika moja ya mambo ambayo SSH alitilia mkazo, ni ile migogoro yenye sura ya kitaifa, vijiji na hifadhi za taifa, vijiji na mapori, maeneo ya serikali na wananchi, na mengine kama...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
29th, 2023 Na Elinipa Lupembe. https://m.youtube.com/watch?v=zHGqSa5Ff-E Mgogoro wa muda mrefu wa mpaka baina ya Kijiji cha Buger na Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, uliodumu zaidi ya miaka 15...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kila ukipita Singida unaona hali ni ileile miaka nenda rudi same applies to Manyara. Na hapa tunapita mjini hata maji ya kunywa shida, ukienda huko wilayani kisha vijijini hali ni mbaya zaidi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa vijana wa sasa mnamjua Kheri James kwamba hanaga mbambamba. Kokote atakako elekeza mpira ndio litahesabika goli hata kama ni mashariki mwa uwanja sehemu isiyo na milingoti ya magoli yenyewe...
0 Reactions
14 Replies
833 Views
Nitaanzia ziara yangu Chongoleani kwenye bomba la mafuta ghafi mkoani Tanga. Nitakwenda Mererani halafu. Nitapita daraja la mto Wami nitaingia Dar nitakwenda moja kwa moja na kupita barabara ya...
9 Reactions
34 Replies
1K Views
Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke Hayati Magufuli wamejikita kutuma picha zake na siyo hotuba zake. Hali hii ni tofauti na kumbukizi ya Nyerere na Mkapa ambapo...
0 Reactions
2 Replies
436 Views
''Natamani malaika ashuke azime mitandao ya kijamii, irudi baada ya mwaka 1 ikute hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga''. Ni kauli ya Rais Magufuli. Ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa...
32 Reactions
702 Replies
90K Views
Rais Magufuli amehoji hivi... Je, nikiondoka leo reli itajengwa? Je nikiondoka leo ndege zitanunuliwa? Je nikiondoka leo vituo hivi vya Afya vitajengwa? Mbona havikujengwa huko nyuma?Niondoke...
26 Reactions
439 Replies
48K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…