MBUNGE TAUHIDA ATOA MISAADA KWA WANAFUNZI KIDATO CHA NNE WALIOKO KAMBINI, AWAASA KUSHIRIKIANA
Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea Mitihani ya Kidato cha Nne Wanafunzi wa Kidato hicho wameaswa...
Ni Wazi kama alivyowahi kusema Jaji Warioba kwamba 2020 ni kana kwamba hapakuwepo na Uchaguzi mkuu
Hivyo nami nasema kama 2025 tutaanzia pale tulipoishia 2015 kwa Wapinzani kupata Wabunge zaidi...
Ama kweli ngoma ya watoto haikeshi kelele zote zile za upotoshaji kuhusu uwekezaji bandarini zimeyeyuka kama mvuke!
Wadau hamjamboni nyote?
Sisi wazoefu tulijua kuwa:
Wenzetu wale wataishiwa...
Kama Taifa hebu tutafakari haya:
1. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayeweza kuongeza kwa mkupuo wanafunzi wapya elfu 29 kwenye HESLB,Simnakumbuka mtangulizi...
Raisi wangu Samia naandika post hii nikiamini kwa huwa unapitia jukwaa hili kama siku moja ulivyotwambia. kama siyo wewe kuusoma mwenyewe basi naomba wasaidizi wako wakufikishie ujumbe huu.
Kuna...
Wiki tatu zilizopita, niliandika humu Jamii forums, juu ya kuishauri serikali kufungua mpaka wa Mozambique na Tanzania ( Mto Ruvuma). Ili kuruhusu korosho ya Mozambique kuingia Tanzania, nikaeleza...
Naangalia star tv tuongee asubuhi naona pascal mayalla amenikuna kweli kwa sababu kila siku nilikuwa sipati usingizi kwa sababu nilikuwa namfikiria rais kuwa ana mamlaka ya kuteua mbunge na kumpa...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko akiwa ziarani Mkoa wa Geita alimuelezea Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu kama mmoja wa...
September 15 mwaka 2010
Mwanabodi Pascal Mayalla walikutana na mchungaji mtikila ambaye alimuhadithia mazingira ya kifo chake yatakavyo kuwa na muhusika na detail zote. Mtikila alirekodi audio ya...
Ninafuatilia majimbo mbalimbali za uchaguzi kwa mienendo ya wabunge wa maeneo hayo. Vitendo vifuatavyo vimebainika.
1. Hawaitishi mikutano ya hadhara kuwaeleza wananchi mipango ya serikali...
Wakuu aslaam!
Pamoja na ufisadi na mambo yote mabaya ambayo either Lowasa alihusishwa au kuhusika bado alikuwa mtu sahihi sana kuwa rais 2015
Kwanza Lowasa ana uthubutu mkubwa sana. Miaka hiyo...
Wadau nawasalimu.
Bila kupoteza Muda naomba nije kwenye MADA HUSIKA. NCHI hii ina sheria ya KUSTAAFU iliyopitishwa na BUNGE juu ya KUUSTAFU kwa WATUMISHI wa UMMA.
KUSTAAFU ktk NCHI kupo kwa Aina...
Nilikuwa naangalia clip ya ziara ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kwenye kaburi la Balozi Kasanga Tumbo
Tundu Lisu alisema ni vema pakawepo na Kumbukizi la Balozi Kasanga Tumbo kila...
Tumepata shuhuda mbalimbali za namna ambayo wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali hutokea. Wengine wakisema Maboksi ya kura zilizopigwa tayari uingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura kisiri...
Salama ya CHADEMA nikususia uchaguzi zaidi ya kushiriki. Wawaache wale ambao wana tamaa ya ubunge waende ACT au CHAUMa kuliko kushiriki uchaguzi unaosimamiwa na Makada wa CCM.
Wasipoweka msimamo...
Demokrasia tunayoifuata ni kuchagua kiongozi umtakaye katika mazingira yatakayoonesha kwamba ameshinda au kushindwa kihalali. Yaani haki ya mpigakura ionekane peupe, na kuheshimiwa na wadau wote...
Kila anayesimama kutetea watanzania anafungwa na watanzania ila anayeiba anaongezewa cheo. Tumeona wale wote walioiba wakasifia watawala wanazidi kupewa nafasi nzuri ya kuiba na kula ila wale wote...
Kumekuwa na shutuma nyingi sana za kumshutumu Magufuli kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020 lakini watowa lawama wote ukiwauliza alivurugaje au aliiba vipi kura hakuna atakayekupa jibu.
Sasa leo...
CHama cha Mafisadi, hivi sasa kiko katika mgawanyiko baina ya wafuasi wa Mwenfazake, na wafuasi wa Mama, na matokeo yake ni chuki iliyopo baina ya pande hizi mbili na chuki hii ndio chanzo cha...
Mchakato wa kumtangaza Mtumishi wa Mungu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuwa Mwenyeheri na hatimate Mtakatifu unaendelea na kwa sasa uko chini Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.
KANISA...