Kwanini Tanzania wanaotetea rasilimali za Taifa wanafungwa lakini wanaoiba wanapewa promosheni?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
893
4,139
Kila anayesimama kutetea watanzania anafungwa na watanzania ila anayeiba anaongezewa cheo. Tumeona wale wote walioiba wakasifia watawala wanazidi kupewa nafasi nzuri ya kuiba na kula ila wale wote waliosimama kutetea wananchi wanyonge wasipofungwa basi watashinda kesi.

Tukiendelea na tawala zakufunga wenye haki na kuwapa uhuru wasio na haki tutanufaika sustainabily au tutanufaika kwa muda mfupi? Kwanini viongozi wetu wanalazimisha sana kubomoa amani?

Au kwa sababu wamejenga nje ya nchi ? Au kwa sababu akaunti za fedha wanazoiba wanapeleka abroad? Je, wataweza kuhamisha familia zote walizona na nasaba nazo?

Lakini tujiulize Kanisani na misikitini tunaenda kufanya nini? Kwanini tunaamini Mungu atatuacha tuendelee kustawi?
 
Makubwa...kwamba wameshindwa kufungia Kanisa mpaka wamfunge yeye??.

Kila siku nawaambia, Kiongozi Mjinga wa akili Huwa anatumia Nguvu na Mamlaka kupambana na kile anachokiona ni changamoto.

Huyu mtu ni Mbumbumbu mtupu kichwan, Elimu yake iko wazi, alifeli feli sana shulee , ni vile CCM ukiwa mpiga Domo, ukajiamin tuuu ,tayari wanakuona unafaa ,alichobakiza ni mamlaka ambayo kwake ni kubwaaaa.

KataaKiongoziMbumbumbu !!.
KataaVitadhidiyaUkristo.
KatibaMpyaNdioSuluhu
 
Kila anayesimama kutetea watanzania anafungwa na watanzania ila anayeiba anaongezewa cheo. Tumeona wale wote walioiba wakasifia watawala wanazidi kupewa nafasi nzuri ya kuiba na kula ila wale wote waliosimama kutetea wananchi wanyonge wasipofungwa basi watashinda kesi...
Hayo ndio maajabu ya Tanzania ya CCM!
 
Kila anayesimama kutetea watanzania anafungwa na watanzania ila anayeiba anaongezewa cheo. Tumeona wale wote walioiba wakasifia watawala wanazidi kupewa nafasi...
Una hoja ya msingi, inabidi usikilizwe. Ila sasa pamoja na kuongea hayo ukute una kadi ya kijani.
 
Back
Top Bottom