Ukweli kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 Jinsi Hayati Magufuli alivyouvuruga

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,610
93,318
Kumekuwa na shutuma nyingi sana za kumshutumu Magufuli kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020 lakini watowa lawama wote ukiwauliza alivurugaje au aliiba vipi kura hakuna atakayekupa jibu.

Sasa leo nimewiwa kuwaondowa gizani, kama mtakakumbuka Magufuli aliwaita maafisa watendaji wote wa Kata Tanzania nzima ikulu Dar, hili halijawahi kutokea katika historia ya Tanzania.

Mkutano huo ulirushwa mubashara lakini baadaye muda wa kuwapa mikakati na malengo ya kuitwa kwao matangazo mubashara yalikatwa na kichinjio cha upinzani ndio kilifanyika pale.

Alichofanya Magufuli ni kila Afisa Mtendaji Kata alipewa Amri ni lazima ahakikishe kuna kura 3000 kwenye Kata yake za Diwani, mbunge na Rais za Ccm, halafu maigizo ya uchaguzi ndio yaendelee kama kama kawaida.

Sasa jiulize katika hali ya kawaida madiwani wanaogombea Kata, mwenzao wa Ccm tayari ana kura 3000 unamshinda vipi?

Ukija kwa mbunge, kila Kata kwenye jimbo ana mtaji wa kura 3000 halafu ndio mshindane kwa kura halali unashindaje?

Ukija kwa Rais hapo ndio kufuru, kila Kata Tanzania nzima ana kura 3000 za wizi na bado wizi wa majumuisho je unamshinda vipi?

Hakika Magufuli hakuwa wakala wa shetani tu Bali ndio shetani mwenyewe.

Hizi siyo ngonjera Bali ni taarifa sahihi live bila chenga, wagombea wote wa upinzani wakitaka kujuwa matokeo halisi je walishinda au walishindwa kweli, kwa udiwani towa kura 3000 za CCM, zinazobaki ndio kura mlizopigiwa, na kwa ubunge kila Kata jimbo zima towa kura 3000 zitazobaki ndio matokeo yenu halisi, ila kwa Urais ni rahisi sana kuiba uchaguzi loop hole ni nyingi sana hata mama Samia ni mitano tena anashinda SAA mbili asubuhi tu mark my words regardless kelele zote za kuuza nchi, labda Jeshi liingilie na kwa Tanzania wanajeshi na wanasiasa wote wana maisha mazuri wanatembelea V8 hilo tusahau.

Najuwa wapo watakaohoji mbona kuna wapinzani wachache walishinda? Jibu ni kwamba huo ni mkakati maalum wa kuhadaa umma na dunia, na sehemu nyingine kama mgombea wa ubunge wa Ccm hakuwa na mahusiano mazuri na Mkurugenzi alitoswa wizi haukufanyika, au kama mgombea udiwani hakuwa na mahusiano mazuri na Afisa Mtendaji Kata pia alitoswa wizi haukufanyika hii ndio sababu ukiona kuna sehemu wapinzani wachache walitangazwa washindi, wapo wakurugenzi waliukataa ushetani wa Magufuli.

Wapinzani amkeni mnapotaka kupambana na CCM muijuwe vizuri nguvu ya Ccm IPO kwa wakurugenzi na maafisa watendaji Kata, nje ya hapo CCM ni kifo cha mende chaliii.

Cc: Pascal Mayalla hii ni Bona fide genuine.
 
Wapinzani amkeni mnapotaka kupambana na Ccm muijuwe vizuri nguvu ya Ccm IPO kwa wakurugenzi na maafisa watendaji Kata, nje ya hapo Ccm ni kifo cha mende chaliii
Kuna kitu huwa hakizungumzwi, huenda it's no More classified Sasa, Wacha nikiseme tu. Walimu na baadhi ya watu walifungiwa kwenye vyuo vya ualimu, vyuo vya kawaida na baadhi ya kumbi ambazo ziliteuliwa Kwa KAZI hio tu na KAZI kubwa ilikua ni kuweka tick kwenye kura hizo.

Walikua hawaruhusiwi kuingia na simu, walikuta Kila kitu kimeandaliwa including chai, chakula na hizo kura feki. Hizi ndio zile baadhi zilikamatwa Kawe na kwingine.

Wakisoma hapa watashangaa tungejuaje ila tulijua tukakaa kimya, baadhi ya hizo stations ilikua ni korogwe, shinyanga na ukumbi wa Baraza la mitihani..... Kwa uchache.
 
Kumekuwa na shutuma nyingi sana za kumshutumu Magufuli kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020 lakini watowa lawama wote ukiwauliza alivurugaje au aliiba vipi kura hakuna atakayekupa jibu.

Sasa leo nimewiwa kuwaondowa gizani, kama mtakakumbuka Magufuli aliwaita maafisa watendaji wote wa Kata Tanzania nzima ikulu Dar, hili halijawahi kutokea katika historia ya Tanzania.

Mkutano huo ulirushwa mubashara lakini baadaye muda wa kuwapa mikakati na malengo ya kuitwa kwao matangazo mubashara yalikatwa na kichinjio cha upinzani ndio kilifanyika pale.

Alichofanya Magufuli ni kila Afisa Mtendaji Kata alipewa Amri ni lazima ahakikishe kuna kura 3000 kwenye Kata yake za Diwani, mbunge na Rais za Ccm, halafu maigizo ya uchaguzi ndio yaendelee kama kama kawaida.

Sasa jiulize katika hali ya kawaida madiwani wanaogombea Kata, mwenzao wa Ccm tayari ana kura 3000 unamshinda vipi?

Ukija kwa mbunge, kila Kata kwenye jimbo ana mtaji wa kura 3000 halafu ndio mshindane kwa kura halali unashindaje?

Ukija kwa Rais hapo ndio kufuru, kila Kata Tanzania nzima ana kura 3000 za wizi na bado wizi wa majumuisho je unamshinda vipi?

Hakika Magufuli hakuwa wakala wa shetani tu Bali ndio shetani mwenyewe.

Hizi siyo ngonjera Bali ni taarifa sahihi live bila chenga, wagombea wote wa upinzani wakitaka kujuwa matokeo halisi je walishinda au walishindwa kweli, kwa udiwani towa kura 3000 za Ccm, zinazobaki ndio kura mlizopigiwa, na kwa ubunge kila Kata jimbo zima towa kura 3000 zitazobaki ndio matokeo yenu halisi, ila kwa Urais ni rahisi sana kuiba uchaguzi loop hole ni nyingi sana hata mama Samia ni mitano tena anashinda SAA mbili asubuhi tu mark my words regardless kelele zote za kuuza nchi, labda Jeshi liingilie na kwa Tanzania wanajeshi na wanasiasa wote wana maisha mazuri wanatembelea V8 hilo tusahau.

Najuwa wapo watakaohoji mbona kuna wapinzani wachache walishinda? Jibu ni kwamba huo ni mkakati maalum wa kuhadaa umma na dunia, na sehemu nyingine kama mgombea wa ubunge wa Ccm hakuwa na mahusiano mazuri na Mkurugenzi alitoswa wizi haukufanyika, au kama mgombea udiwani hakuwa na mahusiano mazuri na Afisa Mtendaji Kata pia alitoswa wizi haukufanyika hii ndio sababu ukiona kuna sehemu wapinzani wachache walitangazwa washindi, wapo wakurugenzi waliukataa ushetani wa Magufuli.

Wapinzani amkeni mnapotaka kupambana na Ccm muijuwe vizuri nguvu ya Ccm IPO kwa wakurugenzi na maafisa watendaji Kata, nje ya hapo Ccm ni kifo cha mende chaliii.

Cc: Pascal Mayalla hii ni Bona fide genuine.
Wapinzani amkeni mnapotaka kupambana na Ccm muijuwe vizuri nguvu ya Ccm IPO kwa wakurugenzi na maafisa watendaji Kata, nje ya hapo Ccm ni kifo cha mende chaliii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom