Zillion
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,358
- 1,807
Wakuu aslaam!
Pamoja na ufisadi na mambo yote mabaya ambayo either Lowasa alihusishwa au kuhusika bado alikuwa mtu sahihi sana kuwa rais 2015
Kwanza Lowasa ana uthubutu mkubwa sana. Miaka hiyo wamasai wakiteseka kusaka maji kwaajili ya mifugo, Lowassa alipeleka ma buldoza yakachimba maeneo ambayo maji hutuama wakati wa mvua na kuongeza kina hivyo maji yakapatikana muda wote.
Lowassa ndiye mwasisi wa shule za kata nchini, alipigania na kusimamia kilamilifu ujenzi na miundombinu ya shule za kata kwa nguvu zote na tunachokiona leo ni matokeo ya mawazo na juhudi zake.
Lowasa ndiye aliyesimama kidete kutoa maji Ziwa Victoria na kuwasambazia wananchi licha ya ukinzani mkubwa wa wamisri na mataifa makubwa kupiga kelele, bado alisimama na kuhakikisha maji ya Ziwa Victoria yanasambazwa nchi nzima na kumaliza tatizo la maji ambayo kwasasa yamefika Tabora.
Naamini kama angepewa nafasi leo mgao wa maji ungekuwa historia.
Baada ya Rais kutudanganya tena jana kwamba tatizo la mgao wa umeme linatokana na matengezo ya miundombinu ya umeme, kwa Mara nyingine nimemkumbuka Lowassa.
Lowassa ni kiongozi wa vitendo na sio maneno kama ilivyo kwa huyu mvaa ushungi hopeless!!