Siyo rahisi kuwatumia Kadi mmoja mmoja hivyo nawaomba mzipokee tu salamu zangu za Pasaka kupitia Uzi huu
Itikadi ni Njia tu kutafuta maendeleo kwenye jamii lakini sisi ni Wamoja
Mungu wa...
Kumekuwa na wimbi la walimu kulawiti watoto na kubaka kitendo ambacho huwa kinaleta picha mbaya zaid kuliko hata wabakaji wa mtaani!
Shuleni tunategemea malezi yawe yenye umakini. Na ya...
Kuna zoezi linaendelea nchi nzima kwa wastaafu kuripoti ofisi za NHIF zilizo karibu yao ili wabadilishiwe kadi zao za bima ya afya.
Nilipokea taarifa hii juzi kabla hata ya ripoti ya CAG kuhusu...
TBC wamekuwa reporter kwa muda mrefu. Madhara yake kila wanachoambiwa na viongozi wa nakipeleka hewani kama walivyoambiwa hakuna kuongeza wala kupunguza.
Hakuna analysis wanaoruhusiwa kufanya...
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
Sifurahishwi na ubadhirifu unaoonyeshwa kwenye ripoti za CAG wala siutetei kwa namna yoyote ile
Lakini nataka kusema tuache siasa na unafiki, ama hata ripoti za CAG zinaweza kuwa zinatolewa...
ACT-Wazalendo wataka uchunguzi ufanyike.
Chama Cha ACT Wazalendo, Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu...
Ndugu zangu Watanzania,
Mbunge wa Simanjiro Mheshimiwa Christopher Ole Sendeka akizungumza na ayo kwa njia ya simu amesema ya kuwa kujibu mapigo kwa risasi kutumia bastola yake kumemsaidia kuokoa...
Wakuu,
Chaguzi zimekaribia kuanza na tayari Wabunge wetu wameshaanza kurejea majimboni kushirikiana na wapiga kura wao kwenye masuala mbalimbali.
Binafsi naona hizi ni sarakasi tu na uzi huu...
Habari ya Jumamosi.
Ninayoheshima kubwa kukuandikia mama kukuambiatu kwa ufupi sana.
Mama wewe haya yanayofanyika unayaona na unajua mengi kuliko sisi raiya wako. Hilo lipo wazi
Ninachoweza...
Mzuka wanajamvi!
Kati ya marais wanyenyekevu, honest, waelewa, wawazi na wenye hekima ni rais wetu wa Jamhuri ya muungano Tanzania Dkt Samia Hassan.
Nampongeza kwa kuwa muwazi na kuweka wazi...
Kwa sauti ya unyenyekevu kabisa niiombe serikali iwe na huruma kwa wananchi wake.
Nia ya kuanzishwa kwa mifuko ya hifadhi ya jamii pamoja na bima ya afya ya taifa ni njema. Ila kinachoendelea...
Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook...
Msemaji mkuu wa Serikal Gerson Msigwa amesema Katazo la kutumia Kuni na Mkaa kuanzia January linahusu Taasisi zinazolisha zaidi ya Watu 100 na siyo Watu wote.
Awali Waziri wa Mazingira Dr Jaffo...
Salaam,Shalom.
Nadhani swali linajieleza.
Kwamba Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Ina dini?
Ikiwa Ina dini, dini Gani?
Na issue ya mtu KUFUNGA ni Tendo la Siri au la hadhara?
Karibuni🙏
Napongeza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar KULAANI waliojichukilia sheria mikononi wakidai kupiga marufuku kula adharani
Ningependa pia yule mtalii aliyetuzwa fedha arejeshewe fedha zake na wale...