Ibrahim Traore Baada ya Kunogewa na Urais asema Uchaguzi sio Kipaombele Chake.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,114
49,840
Haka kajamaa kaliingia Kwa hia ya kurejesha usalama baada ya Mwenzie kaliuempindua Kushindwa.

Kajamaa kalisema ndani ya miezi 4 katarejesha Usalama lakini mwaka Sasa imeisha usalama ni shida , wanajeshi wanauwawa na wanamgambo na juzi kati kameponea mapinduzi ya Kijeshi.

Baada ya ku survive mapinduzi Sasa kamesema hakuna Cha uchaguzi na usalama ndio kipaombele 😁😁

View: https://www.instagram.com/p/Cxzz1UrtNFT/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

My Take
Kama nilivyosema hapo awali hakuna Cha maana watu wa Burkinabe watapata zaidi ya kuambulia propaganda na maigizo sana sana wajiandae Kwa kuhaso.

Pili haka kataondolewa kama kalivyoingia maana maigizo yamezidi.
 
Haka kajamaa kaliingia Kwa hia ya kurejesha usalama baada ya Mwenzie kaliuempindua Kushindwa.

Kajamaa kalisema ndani ya miezi 4 katarejesha Usalama lakini mwaka Sasa imeisha usalama ni shida , wanajeshi wanauwawa na wanamgambo na juzi kati kameponea mapinduzi ya Kijeshi.

Baada ya ku survive mapinduzi Sasa kamesema hakuna Cha uchaguzi na usalama ndio kipaombele 😁😁

View: https://www.instagram.com/p/Cxzz1UrtNFT/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

My Take
Kama nilivyosema hapo awamu hakuna Cha maana watu wa huko watapata zaidi ya kuambulia propaganda na maigizo sana sana wajiandae Kwa kuhasho.

Uchsguzi wa kazi gani kwa sass wakati ukiitisha uchaguzi ufaransa na marekani kwa vyovyote wataingilia kutaka kuweka mtu wao
Kinachohitajika kwa sasa ni kuweka msingi kwa kuwakomboa kifikra wananchi ili wawe tsyari kuchukua dhima ya nchi yao wao wenyewe.
 
Propaganda za Magharibi , dogo atapata taabu Sana , tukubali Tu kwamba katika Nyanja zote za maisha kuna mkubwa na mdogo
Unakumbuka na hapa wakati wa awamu ya mungu wenu kuwa katiba sio kipaumbele chake halafu anatuma watu ili katiba ibadilishwe ili yeye atawale milele rejea yule spika mgogo na yule Mzee wa kiarabu.
 
Uchsguzi wa kazi gani kwa sass wakati ukiitisha uchaguzi ufaransa na marekani kwa vyovyote wataingilia kutaka kuweka mtu wao
Kinachohitajika kwa sasa ni kuweka msingi kwa kuwakomboa kifikra wananchi ili wawe tsyari kuchukua dhima ya nchi yao wao wenyewe.
200% correct. Ht Tz inahitaji akina Traore
 
Haka kajamaa kaliingia Kwa hia ya kurejesha usalama baada ya Mwenzie kaliuempindua Kushindwa.

Kajamaa kalisema ndani ya miezi 4 katarejesha Usalama lakini mwaka Sasa imeisha usalama ni shida , wanajeshi wanauwawa na wanamgambo na juzi kati kameponea mapinduzi ya Kijeshi.

Baada ya ku survive mapinduzi Sasa kamesema hakuna Cha uchaguzi na usalama ndio kipaombele 😁😁

View: https://www.instagram.com/p/Cxzz1UrtNFT/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

My Take
Kama nilivyosema hapo awamu hakuna Cha maana watu wa huko watapata zaidi ya kuambulia propaganda na maigizo sana sana wajiandae Kwa kuhasho.

Pili haka kataondolewa kama kalivyoingia maana maigizo yamezidi.

Madaraka ya kulevya.
 
Back
Top Bottom