Source: ITV news
Jana jioni kuliripotiwa kuzuka kwa vurugu la kukata na shoka kati ya raia na mgambo wa manispaa ya Kinondoni katika ofisi za mkuu wa wilaya hiyo. Chazo ni baada ya mgambo...
Kwa mara ya 3 mfulizo kwa nyakati tofauti nimefika katika kituo cha Polisi cha Buguruni na Selandar Bridge. Ndugu IGP, napenda ujue kwamba baada ya Rais kuugawa Mkoa wa Dar na kuweka madoiko kibao...
Habari zinazoifikia skwadi ya uchunguzi ya JF zinasema kuwa Kikwete anapanga kuzunguka dunia kutangaza uteuzi wake wa kuwa kiongozi wa AU ooooopppppsssss kusuluhisha migogoro ya nchi mbalimbali na...
Naona spika ameamua kuahirisha safari ya marekani na kurejea bungeni kesho huenda hii ni kutokana na hali halisi ya bunge na mjadala wa jana na wabunge kushinikiza waletewe ripoti ya richmond...
Ndugu zangu wana JF, nawaombeni tusingoje serikali yetu imrudishe Balali. Na inawezekana wasifanye hivyo.
Naomba tuamzishe kampeni ya kumrudisha huyu mfisadi Bongo ili aweze kutoa nyaraka zote...
JK ameona madhara ya viongozi wa kitaifa kufanya biashara na sasa anawashukia kama mwewe.
Habari zaidi saa 2.00 usiku.
Hata hivyo tukumbushane hoja nyingine ya Zitto ilivyozimwa na Ofisi ya...
Mbunge ODM ahutubia Dar aomba majeshi ya AU kwa Kikwete
* Kalonzo aenda Ulaya, Marekani kurekebisha mambo
Na Waandishi Wetu
MBUNGE wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) cha nchini...
Geee! Tumechoka na kauli zako zisizo na vitendo kila kukicha! Vunja baraza lako la mawaziri na mafisadi wote na waroho wa kujilimbikizia utajiri kupitia nyadhifa zao uwatose! Na wewe mwenyewe kama...
Dk Slaa aibua ufisadi mwingine wa Sh1 trilioni
Na Tausi Mbowe, Dodoma
MBUNGE wa Karatu, (Chadema), Dk Willibrod Slaa, ameibua kashfa nyingine na kudai kuwa zaidi ya Sh1 trilioni zimepotea...
Sitta atoboa siri kupiga 'stop' mjadala
Na Reuben Kagaruki
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw. Samwel Sitta, ametoboa siri ya kusogeza mbele mjadala wa Ripoti ya Richmond...
Wabunge wembe huo huo
Habari Zinazoshabihiana
Wabunge hii ni changamoto kwenu 27.01.2008 [Soma]
Cheyo, Ole Sendeka waungwe mkono 03.02.2008 [Soma]
Rais Kibaki kafanya...
Angry MPs reject Karamagis Energy, Petroleum Bill
MEMBERS of Parliament refused unanimously Friday to listen to Energy and Minerals Minister Nazir Karamagi and his team of resource persons at...
JK atau Dar na kusema migogoro kama ya Kenya haiwezi kuwachukulia muda viongozi wa Au na badala yake wanajikita katia kuleta maendeleo ya Afrika. Kauli hii kidogo imeniacha hoi labda ningoje...
Chadema candidate falls ill on the campaign trail
By Polycarp Machira
By Polycarp Machira
THE CITIZEN
Chadema's candidate for the Kiteto by-election, Mr Victor Kimesera, was...
jee wapinzani wako tayari kwa mashirikiano haya?
au wataona kuwa wanategwa maana wao kila kitu waoga wanaogopa kivuli chao
source majira
Kikwete: Huu ni mwaka wa kushirikiana na wapinzani...
MWENYEKITI wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema kwa sasa Tanzania imekosa viongozi wawajibikaji.
Alisema kutokana na hali hiyo, kosa linapotokea katika idara wanazoziongoza...
Uswidi yaridhishwa na siasa Zanzibar
Na Ali Suleiman, Zanzibar
SERIKALI ya Uswidi imesema imeridhishwa na hali ya kisiasa ya visiwa vya Unguja na Pemba ambapo amani na utulivu...
Resign, Butiku tells tainted politicians
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
MWALIMU Nyerere Foundation Executive Director Joseph Butiku has called for the resignation of cabinet ministers and...
Takhriban miaka 14 iliyopita tulishikwa na butwaa tuliangalia jirani zetu wa Rwanda wakichinjana kwa mapanga.
Tuliangalia tukikosa la kufanya hadi idadi ya waliopoteza maisha yao ilipofika karibu...