Kikwete kuzunguka dunia kujitambulisha kuwa kiongozi wa AU

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,192
0
Habari zinazoifikia skwadi ya uchunguzi ya JF zinasema kuwa Kikwete anapanga kuzunguka dunia kutangaza uteuzi wake wa kuwa kiongozi wa AU ooooopppppsssss kusuluhisha migogoro ya nchi mbalimbali na kusaidia juhudi za maendeleo za "nchi masikini" za Afrika.

JF members watch this space for updated information maana sio vyema kuweka wazi ziara za Vasco Da Gama ambaye this time ataambatana na admirer wa VDG - mheshimiwa sana Membe!

Kazi imeanza tayari!
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
117,646
2,000
Unajua unapokuwa na majukumu mengi kuliko uwezo wako basi si vibaya kuyakataa majukumu mengine utakayoongezewa ili uyamalize yale uliyokuwa nayo kwanza.

Kwa maoni yangu JK kafanya makosa kuchukua majukumu ya AU wakati Tanzania kunafukuta moto chini kwa chini. Angewashukuru wajumbe wa mkutano wa AU kwa kumpa heshima hiyo na kuwaambia kwamba ana majukumu mengi ndani ya Tanzania ambayo hayamruhusu kuwa na wakati wa kushughulikia yale ya Afrika. Well, msanii atakuwa ni msanii labda alitaka kuongeza wadhifa wake kwenye CV yake pamoja na kujua kwamba hana uwezo.

Sasa ndiyo atavurunda zaidi maana atakuwa hajui ashike la Tanzania au la Afrika. Tuna safari ndefu.
 
Kasana

JF-Expert Member
Apr 3, 2007
417
225
Kwa maoni yangu JK kafanya makosa kuchukua majukumu ya AU wakati Tanzania kunafukuta moto chini kwa chini

Hizi nafasi huwa zinatokea mara chache,(timing) kwa maana miaka kumi ya uongozi na mzunguko wa kupeana uenyekiti wa AU. si vibaya na yeye akawa katika historia ya AU.
Sidhani kama anaona kama kuna moto wa chini kwa chini unafukuta, angekuwa ameshareact kujaribu kuondoa hivyo vitu vinavyochochea.
sisi tuendelee kuweka majani makavu hadi kieleweke.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
117,646
2,000
Hizi nafasi huwa zinatokea mara chache,(timing) kwa maana miaka kumi ya uongozi na mzunguko wa kupeana uenyekiti wa AU. si vibaya na yeye akawa katika historia ya AU.
Sidhani kama anaona kama kuna moto wa chini kwa chini unafukuta, angekuwa ameshareact kujaribu kuondoa hivyo vitu vinavyochochea.
sisi tuendelee kuweka majani makavu hadi kieleweke.

Kasana, Mshika mawili....
Naam sisi tutashika mabango mpaka mafisadi wote wafichuliwe, wafunguliwe mashtaka na hatimaye kufilisiwa mali walizozipata kwa ufisadi.
 
Bongolander

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
5,068
2,000
Jamani wana JF, OUR PRESIDENT IS NOT THAT STUPID HE CAN NOT DO THAT, he has a lot to deal with at home!
 
DMussa

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
1,314
1,500
Bongolander
lets hope so... I bet he is going to stay cool for a while ili tusahau sahau kidogo alafu akianza safari ndo mpaka 2010 kwenye kampeni
 
Avenue M

Member
Feb 3, 2008
19
0
Habari zinazoifikia skwadi ya uchunguzi ya JF zinasema kuwa Kikwete anapanga kuzunguka dunia kutangaza uteuzi wake wa kuwa kiongozi wa AU ooooopppppsssss kusuluhisha migogoro ya nchi mbalimbali na kusaidia juhudi za maendeleo za "nchi masikini" za Afrika.

JF members watch this space for updated information maana sio vyema kuweka wazi ziara za Vasco Da Gama ambaye this time ataambatana na admirer wa VDG - mheshimiwa sana Membe!

Kazi imeanza tayari!

Wacha utoto ndugu!! When are you finally gonna grow up?! Hebu tuambie lengo ya mada ya uchochezi na kejeli dhidi ya mheshimiwa rais kama hii? Unategemea ku-achieve kitu kama cha msingi with such far-fetched, speculative utumbo kama huu? You've gone way overboard ndugu! Heckling and demeaning the president in this uncouth fashion won't contribute to anything positive. Hii ni kubomoa na ku-demoralize na wala si kujenga.
 
Kinabo

Member
Dec 4, 2006
75
95
Kwanza na mpongeza kwa kuchaguliwa kuingoza AU.
Kuwa maswala ya nyumbani ni mengi, ni kweli lakini katika utawala wa pamoja, kinachotakiwa ni kuteuwa watu wanaojuwa majukumu yao, wasalendo na wanaojali wananchi na mali zao na za taifa kwa ujumla.
 
G.MWAKASEGE

Senior Member
Jun 29, 2007
153
0
Wasi wasi wangu ni kwamba kwa kukabiziwa huo uraisi anaweza jenga assumption kuwa amexcell ktk kuiongoza Tz ndo maana ata Africa wakaona anafaa.
Hatmae yatakuwa mambo ya Ukimsifia mgema......
Niko shallow kidogo ktk sual ala uchaguzi wa raisi wa AU can someone enlighten me on that as zama za OAU kule mkutano ufanyikako ndo chair anakotoka.
 
Shukurani

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
253
0
MWafrika wa kike,naiunga mkono kauli yako " JK should dissolve his cabinet". Hii uliyoleta hapa leo,sishangai sana maana JK anapenda sana mitoko
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,192
0
Wacha utoto ndugu!! When are you finally gonna grow up?! Hebu tuambie lengo ya mada ya uchochezi na kejeli dhidi ya mheshimiwa rais kama hii? Unategemea ku-achieve kitu kama cha msingi with such far-fetched, speculative utumbo kama huu? You've gone way overboard ndugu! Heckling and demeaning the president in this uncouth fashion won't contribute to anything positive. Hii ni kubomoa na ku-demoralize na wala si kujenga.

Nadhani jina lako tu hapa linaamua ugomvi wa kati yangu na wewe nani ni mtoto na anastahili kukua! Ninahakika kuwa wana ccm wenye akili hapa wangependa kuona ukifungiwa au ubadilishwe jina maana unaabisha chama chao kwa jina lako.

Otherwise, get ready for a long ride coz I am here to stay!
 
Avenue M

Member
Feb 3, 2008
19
0
Hilo jina lisiwapumbaze naweza kulibadilisha hata kesho.

La muhimu leo hii ni kwamba Watanzania woote popote waliopo tufurahie Chama chetu kitukufu CCM kuadhimisha miaka 31 ya kuzaliwa! Ni furaha iliyoje!! CCM Hoyee!! JK juu!! Juuu!! Juuu!! Juu zaidi!!

tz&
 
Avenue M

Member
Feb 3, 2008
19
0
Nadhani jina lako tu hapa linaamua ugomvi wa kati yangu na wewe nani ni mtoto na anastahili kukua! Ninahakika kuwa wana ccm wenye akili hapa wangependa kuona ukifungiwa au ubadilishwe jina maana unaabisha chama chao kwa jina lako.

Otherwise, get ready for a long ride coz I am here to stay!

Ndugu naona unatumia "red herring" na vitisho vya kitoto vya kunifungia badala ya kujibu hoja. Hizi mada zako za kitoto za kumsuta Kikwete kila siku ni ishara ya jinsi ulivofilisika kimawazo. Kwa kifupi HUNA JIPYA!
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,192
0
Ndugu naona unatumia "red herring" na vitisho vya kitoto vya kunifungia badala ya kujibu hoja. Hizi mada zako za kitoto za kumsuta Kikwete kila siku ni ishara ya jinsi ulivofilisika kimawazo. Kwa kifupi HUNA JIPYA!

Usianze kulialia sasa kama mtoto hapa, winter hii kuna upungufu mkubwa sana wa maziwa!
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,192
0
Ona sasa!! Kumbe hoja ulikuwa huna wewe! Lijimama lizima hovyooooo!!

Just few posts tu zimethibitisha real ID yako na uwezo wako!

Unacheza na Pros hapa! watoto hawaruhusiwi jamvini hapa. Wewe endelea kuexplode na kutoa matusi..... mwenzio mimi na popcorn zangu na glasses mpya nikishuhudia part 2 ya hii movie.....

tik tak tik tak tik tak.........
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom