Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu wana JF, nawaombeni tusingoje serikali yetu imrudishe Balali. Na inawezekana wasifanye hivyo. Naomba tuamzishe kampeni ya kumrudisha huyu mfisadi Bongo ili aweze kutoa nyaraka zote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
JK ameona madhara ya viongozi wa kitaifa kufanya biashara na sasa anawashukia kama mwewe. Habari zaidi saa 2.00 usiku. Hata hivyo tukumbushane hoja nyingine ya Zitto ilivyozimwa na Ofisi ya...
0 Reactions
73 Replies
10K Views
Mbunge ODM ahutubia Dar aomba majeshi ya AU kwa Kikwete * Kalonzo aenda Ulaya, Marekani kurekebisha mambo Na Waandishi Wetu MBUNGE wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) cha nchini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Geee! Tumechoka na kauli zako zisizo na vitendo kila kukicha! Vunja baraza lako la mawaziri na mafisadi wote na waroho wa kujilimbikizia utajiri kupitia nyadhifa zao uwatose! Na wewe mwenyewe kama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dk Slaa aibua ufisadi mwingine wa Sh1 trilioni Na Tausi Mbowe, Dodoma MBUNGE wa Karatu, (Chadema), Dk Willibrod Slaa, ameibua kashfa nyingine na kudai kuwa zaidi ya Sh1 trilioni zimepotea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sitta atoboa siri kupiga 'stop' mjadala Na Reuben Kagaruki SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw. Samwel Sitta, ametoboa siri ya kusogeza mbele mjadala wa Ripoti ya Richmond...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Juzi nasikia wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha SUNFLAG mjini Arusha wamefukuzwa kazi. Kama kuna mwenye taarifa naomba ani update?
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wabunge wembe huo huo Habari Zinazoshabihiana • Wabunge hii ni changamoto kwenu 27.01.2008 [Soma] • Cheyo, Ole Sendeka waungwe mkono 03.02.2008 [Soma] • Rais Kibaki kafanya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Angry MPs reject Karamagi’s Energy, Petroleum Bill MEMBERS of Parliament refused unanimously Friday to listen to Energy and Minerals Minister Nazir Karamagi and his team of resource persons at...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
JK atau Dar na kusema migogoro kama ya Kenya haiwezi kuwachukulia muda viongozi wa Au na badala yake wanajikita katia kuleta maendeleo ya Afrika. Kauli hii kidogo imeniacha hoi labda ningoje...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
  • Closed
Chadema candidate falls ill on the campaign trail By Polycarp Machira By Polycarp Machira THE CITIZEN Chadema's candidate for the Kiteto by-election, Mr Victor Kimesera, was...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jee wapinzani wako tayari kwa mashirikiano haya? au wataona kuwa wanategwa maana wao kila kitu waoga wanaogopa kivuli chao source majira Kikwete: Huu ni mwaka wa kushirikiana na wapinzani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema kwa sasa Tanzania imekosa viongozi wawajibikaji. Alisema kutokana na hali hiyo, kosa linapotokea katika idara wanazoziongoza...
1 Reactions
88 Replies
11K Views
Uswidi yaridhishwa na siasa Zanzibar Na Ali Suleiman, Zanzibar SERIKALI ya Uswidi imesema imeridhishwa na hali ya kisiasa ya visiwa vya Unguja na Pemba ambapo amani na utulivu...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Resign, Butiku tells tainted politicians THISDAY REPORTER Dar es Salaam MWALIMU Nyerere Foundation Executive Director Joseph Butiku has called for the resignation of cabinet ministers and...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Takhriban miaka 14 iliyopita tulishikwa na butwaa tuliangalia jirani zetu wa Rwanda wakichinjana kwa mapanga. Tuliangalia tukikosa la kufanya hadi idadi ya waliopoteza maisha yao ilipofika karibu...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Maalim Seif amsifu Balozi Karume kuhusu hatima ya Zanzibar Na Mkinga Mkinga SIKU chache baada ya Balozi wa Tanzania nchini Italia, Ali Karume, kutangaza azma yake ya kutaka kugombea urais wa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za kawaida Posted Date::2/2/2008 Shule zenye majina ya viongozi hoi mtihani kidato cha nne Na Joyce Mmasi SHULE za sekondari zenye majina ya viongozi, zimeonekana kufanya vibaya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tanzania... my beloved motherland.. How I long for you! I weep for you. To see your demise saddens me, enrages others and leads to many outcomes. Everytime I log onto JF the word I am most likely...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mzimu wa ufisadi wawafuata makandarasi na Mwandishi Wetu Tanzania Daima SAKATA la ufisadi katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), linaonekana kuibua tuhuma nyingine kadhaa baada ya waliokuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…