Habari za kuaminika kutoka katika kona muhimu Dodoma zinasema kuwaj mmojawapo wa wabunge machachari Bungeni anatarajiwa kutoa hotuba muhimu sana Bungeni kuhusu mojawapo ya masuala nyeti ya Taifa...
Date::6/30/2008
Ufisadi mpya BoT kutinga bungeni
*Naibu Gavana asema ripoti bado ni siri
*Ni ule wa Sh 5 bilioni zilizolipwa kwa kampuni mbalimbali
*Homa ya EPA nayo juu
*Lipumba...
`Zanzibar haina fisadi`
2008-06-27 11:05:04
Na Mwinyi Sadallah, Zanzibar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu, Fedha na Uchumi, Dk. Mwinyihaji Makame, amesema si vyema masuala ya ufisadi ya...
Ndege ya aina ya cargo ya kirusi Antonov imeanguka Khartoum asubui hii masaa ya saa 1 na kuua crew wote saba. Ilianguka wakati ikiwa inapaa. bahati nzuri ilianguka uwanja ambao ulikuwa mtupu wa...
Wananchi hawana imani na serikali ndiyo maana wanatoa nyeti ili labda wasaidie kuleta mabadiliko kwa manufaa ya Watanzania wote. Nyeti za serikali zitaendelea kutoka tu mpaka pale Watanzania wawe...
Ex-Richmond power deal may be extended to 2012
By Tom Mosoba
THE CITIZEN
The Dowans emergency power supply contract could be extended for another three years despite stiff opposition to the...
Date::6/29/2008
Kauli ya Mkulo kuhusu EPA: Kikwete vunja ukimya
Na Theodatus Muchunguzi
Mwananchi
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo ametoa kauli ambayo imebadili upepo wa kisiasa...
Nilishasema hapa ukumbini kwamba hizi ripoti za WB na IMF ni bomu. Wameandika upupu mwingine ambao Watanzania wengi hatuwezi kukubaliana nao. Kipindi wanachozungumzia ndiyo mafisadi wa EPA...
`SMZ rudisheni hati za kusafiria`
2008-06-28 11:23:00
Na Mwinyi Sadallah, Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imeshauriwa kurejesha matumizi ya hati za usafiri kati ya Tanzania...
Ole wake Tanzania tusipoisaidia
Deus Bugaywa
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
HAKUNA wakati muhimu kwa wananchi wa Tanzania kuuishi na kuutumia vyema wosia wa hayati Baba wa Taifa alioliachia...
Pinda fumbles on Kiwira, Meremeta : Premier`s evasive Bunge performance only adds fuel to the fires of mystery
THISDAY REPORTER
Dodoma
THE Prime Minister, Mizengo Pinda, yesterday...
Date::6/27/2008
Wapigakura wamtaka mbunge wao akae kimya bungeni
Frederick Katulanda, Sengerema
Mwananchi
BAADHI ya wananchi wa Mkoa wa Mwanza, Jimbo la Buchosa, wamemtaka Mbunge wao...
Ni bora yavunjwe haraka sana ili kuwanusuru Watanzania kutopoteza maisha yao ndani ya maghorofa hyo bomu.
Ghorofa 100 Dar bomu
Shadrack Sagati, Dodoma
Daily News; Friday,June 27, 2008 @19:01...
Hanging out with Zim's first shopper
By Claire Donnelly
http://www.newzimbabwe.com/pages/shopper.1156.html
20/06/03
AT HOME in Zimbabwe more than seven million of her people are...
Smear campaign against PCCB boss gathers steam
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
A GROUP of powerful individuals targeted in ongoing investigations into grand corruption in the country is...
Baada ya kama nusu saa hivi tutaungana na Mhe. John Momose Cheyo (UDP Bariadi) kuzungumza nasi kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa yanayoendelea nchini na hususan suala zima la Meremeta.
Wote...
The recent comments by Hon. M.Mkullo, the man who is supposedly to be the chief of running our economy and financial sector, highlighting about the EPA scandal, it has proven that the Hon...
Wananchi Wa Jimbo La Bichosa Wamemtka Mbunge Wao Kukaa Kimya Na Kuacha Kuongea Utumbo Wake Kwa Kumtetea Aliekuwa Waziri Wa Miundo Mbinu Mh Chenge Kwa Vile Hayo Si Maoni Yao!!!
Wakizungumza Na...