Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,378
- 39,319
Habari za kuaminika kutoka katika kona muhimu Dodoma zinasema kuwaj mmojawapo wa wabunge machachari Bungeni anatarajiwa kutoa hotuba muhimu sana Bungeni kuhusu mojawapo ya masuala nyeti ya Taifa letu. Yawezekana hotuba hiyo itatolewa leo (jumatatu) au siku mojawapo wiki hii.
Hotuba hiyo ambayo vyanzo vyetu vinadokeza kuwa ni "defining moment" inatarajiwa kugusia masuala karibu muhimu sana ambayo yanahusu mustakabali wa Taifa letu.
Hivyo, kwa wale ambao wanafuatilia mambo Bungeni, macho yetu yote yanaelekea Dodoma. Swali ambalo baadhi yetu tunajiuliza ni "je hotuba hii muhimu itaonwa na kusikika na Watanzania wengi au itahujumiwa kama ile ya Dr. Slaa?". Jibu lake ni muda tu tutaona.