Ndege nyingine yaanguka Khartoum

mjinga

JF-Expert Member
May 11, 2008
328
130
Ndege ya aina ya cargo ya kirusi Antonov imeanguka Khartoum asubui hii masaa ya saa 1 na kuua crew wote saba. Ilianguka wakati ikiwa inapaa. bahati nzuri ilianguka uwanja ambao ulikuwa mtupu wa makazi ya watu. Uwanja wa Khartoum uko katikati ya mji wa Kharoum.
Hii ni mara ya pili ndani ya mwezi huu kutokea katika uwanja huu.
 
Back
Top Bottom