Calling for Mkullo's Resignation...

kingwendu

Member
Feb 24, 2007
30
0
The recent comments by Hon. M.Mkullo, the man who is supposedly to be the chief of running our economy and financial sector, highlighting about the EPA scandal, it has proven that the Hon. minister is either 'negligent or incompetent' to hold such crucial and undoubtedly one of the most important post in our country and indeed any country.

It has come as a suprise to many that whilst the investigation is still conducted into the matter the Hon. Minister, came out giving contradictory statement ,and above all showed his lack of knowledge of the EPA issue and how sensitive it is to the people of Tanzania.

Inasemekana pia kauli ile ya Mkullo haina baraka ya baraza la mawaziri, na watendaji wengi wakuu wameshtushwa, (Rejea comments za Katibu Mkuu Luhanjo na Mkaguzi Mkuu wa Serikali) hivi karibuni.

Accordingly, with strong words we call upon Hon. MKullo either to withdraw his statement and appologise to the parliament and the general public or resign his post immediately and leave it to someone who will be really careful on overseeing our economy.
This is is the only way he can help our President if we are to reach the objective of better lives to all Tanzanians.

Mkullo jiuzulu sasa, au ondoa maneno yako......!!!
 
Si ndio tabu ya madaraka ya kupeana people are not competent kwenye kazi wanazopewa matokeo yake ndio wanakurupuka na statement za kuwaboa watu...Mi nilidhani kile kipara mambo yatakuwa yametulia...Kumbe hovyo kabisa..Let him go....
 
Wajiuzulu wangapi na hao waliokwisha kujiuzulu wako wapi na wanafanya nini ?
 
Tukichukulia kwamba hii ni Budget ya kwanza kwa Mkullo lazima alikuwa na ile hofu kuingia kwenye chumba cha 'mtihani' wa Taifa kwa mara ya kwanza! Wakati mwingine mtihaniwa kwa woga wa mtihani hujibu hata yale ambayo hayahusiki. Lakini inavyoelekea majibu ya Mkullo ni reflection ya kinachoendelea ndani ya utata mzima wa fedha za EPA. Tuchukulie kama katereza na kakurupuka kutoa neno wakati usiostahili na kutereza si kuanguka. Tusubiri maelezo yatakayotolewa tuone kama hayatakaribia kufanana na kauli aliyotoa Mkullo.
 
Wajiuzulu wangapi na hao waliokwisha kujiuzulu wako wapi na wanafanya nini ?

Usijali hata wakiondoka wote haisumbui kitu. Ila una point hapo kwenye wako wapi na wanafanya nini.....wafunguliwe kesi mahakamani, kama mahakama nayo ni safi, anyway!
 
Back
Top Bottom