Wabunge Wamtaka Mbunge Wao Akae Kimya!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,132
17,109
Wananchi Wa Jimbo La Bichosa Wamemtka Mbunge Wao Kukaa Kimya Na Kuacha Kuongea Utumbo Wake Kwa Kumtetea Aliekuwa Waziri Wa Miundo Mbinu Mh Chenge Kwa Vile Hayo Si Maoni Yao!!!
Wakizungumza Na Waandishi Wa Habari Baadhi Ya Wananchi Wamesema Kitendo Cha Kumtetea Chenge Ni Utumbo Mtupu Na Anaonyesha Anaaongea Yale Asiotumwa Na Wananchi
Na Huku Akisema Kwa Maslah Yake Binafsi....hawa Jamaa Bwana Wakija Wanalia Wakifika Kule Wanaangalia Matumbo Yao...angalia Juzi Wanavyozidi Kuongezeka Matumbo Yao,,inaonyesha Hata Wanawake Wangeweza Kunenepa Vile Ingekuwa Hatari.....

Hata Mi Najiuliza Huyu Mama Yetu Anna Makinda Si Jui Anaumwa Nini Mbona Anenepi Kabisa....lazima Wabunge Wanawake Mlalamikie Usawa Bungeni Hadi Kwenye Afya

Kazi Kubwa
 

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
804
huyu chitalilo hajui kusoma alama za nyakati, anayo kesi ya kughusi vyeti vya shule na huku anatifua mambo mengine. lakini hao wananchi nao wanapaswa wajifunze sasa, silaha wanayo, mwaka 2010 ubunge atausikia kwenye bomba
 

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,934
685
Mhh, jamani hii heading inanipa shida kidogo. Mod hii habari iko mara 2 hapa. Nyingine kama hii imewekwa na Babu Ataka Kusema. Tunajaza jamvi kwa habari za kujirudia rudia. NEXT...........
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom