FIRST SHOPPER Grace Mugabe

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,697
mugabe6eg.jpg

bobthegobandthecow.jpg

grace.jpg

399724780_57c1799c76_m.jpg

340x.jpgHanging out with Zim's first shopper

By Claire Donnelly

http://www.newzimbabwe.com/pages/shopper.1156.html

20/06/03

AT HOME in Zimbabwe more than seven million of her people are starving. But as Robert Mugabe's wife Grace strolled around the most exclusive boutiques in Paris recently, the plight of the hungry and dying was the last thing on her mind.

Hiding behind £180 Christian Dior sunglasses and with a £25,000 diamond-encrusted Rolex hanging off her wrist, the First Lady of Zimbabwe spent a day doing what she does best - shopping.

After a £150-a-head dinner she and her husband retired to their £10,000-a-night, 33-room suite at the Plaza-Athenee, while back home families queued for meagre supplies of bread and cooking oil.
Grace, who at 39 is 40 years younger than her husband, has come to represent everything that is wrong with Mugabe's tyrannical regime.

Southern Africa's answer to Imelda Marcos, she is known in Zimbabwe as The First Shopper, a woman who has spent millions on foreign shopping trips, a sprawling home dubbed
 
Mhhhhhhhhn!
Sii wanatuambia kuwa account zao zilifungiwa!.. kumbe wanaweza kuingia na Pound - Paris under their eye na kufanya shopping!
What's going on na vikwazo?
 
Vipi mafirst shoppers wengine, labda ingekuwa vyema wangetuletea figures then tungefananisha. Anyway, figure hizo zilizotajwa hazifiki hata 50,000 USD...Bongo tuna ANBEN, Kiwila, Netgroup zote hizo zinahusishwa na former first shopper wa kitanzania, na gharama zake zilishasababisha wengi kuachishwa kazi na watoto wengi wa maskini kuendelea kuteseka, iweje isiwe news?
 
habari Ya 2003 Hii.
Bado Na Propaganda Za Ki-magharibi Tu Jamani.....?

Habari Ya 2003 Yaletwa Leo.......!
Mugabe Ondoa Hao Wanataka Kukuwekea Sheria Za Kuruhusu Mashoga ......! Fukuzilia Mbali Wao Na Vibaraka Wao...!
 
Mafuchila,
Welcome back. Hawa wote ni Pimbi wababaishaji na Mbilikimo wa mawazo.
 
Mafuchila,
Welcome back. Hawa wote ni Pimbi wababaishaji na Mbilikimo wa mawazo.

Jasusi,
Asante sana, nimerejea....hali inavyoendelea hata kama hukutaka kuchangia unalazimika tu kuchangia. Hawa mbilikimo wa mawazo wanatusumbua kwelikweli, wanaturudisha miaka 40 nyuma, kisa wana access na internet, CNN na BBC na wanaona au wanahabarishwa kile bwana mkubwa anachotaka kuwahabarisha; wanachoshindwa ni kuchambua wanachokiona au wanachohabarishwa.
 
Mke Wa Mugabe Ni First Shopper Wa Afrika...malikia Wa Uingereza Ni First Shopper Wa Wapi?
Pesa Anazo Fanya Kufuru Na Almasi Na Dhahabu..alivitoa Wapi?
Utajiri Wa Malkia Ulitoka Wapi?
 
mke Wa Mugabe Ni First Shopper Wa Afrika...malikia Wa Uingereza Ni First Shopper Wa Wapi?
Pesa Anazo Fanya Kufuru Na Alamsi Na Dhahabu..alivitoa Wapi?
Utajiri Wa Malkia Ulitoka Wapi?
Waulize Wewe Wanaotetea Wasagaji Na Mashoga Wa Magharibi.....!
 
Mushi1
Tofauti ya Uingereza na Zimbabwe ni kwamba Waingereza hawalali njaa. Wao kwa hiari yao wenyewe wameamua kumpa Malkia wao mshahara. Je hivyo ndivyo ilivyo Zimbabwe?
 
Kama waingereza hawana migodi ya almasi na dhahabu..je inakuwa vipi kuwa wao ndio wanazo kuliko sisi?

utajiri wao wameutoa wapi?

Zimbabwe iliwalisha...Afrika ni NJAA..nani awalishe?

Kwa wale msiyoijua history ngoja niwape somo....

Karl Peters alisaini mikataba mara kabla ya mkutano wa kuligawa bara la Afrika huko BERLIN.

Wenye mawazo ya kumrudisha KARL PETERS(SINCLAIR)...THEN WAJUWE TUTAPAMBANA NAO.

NANI ANAYEDAI KUWA KAMA AFRIKA NI RICH RESOURCES WISE ..THEN KWANINI STARVATION, HUNGER AND PREVENTABLE DISEASES NI PROBLEMATIC?

DIAMONDS ZA AFRIKA..NI ISHARA YA UTAJIRI WA MALIKIA LICHA YA KWAMBA HAWANA HAYO MADINI ARDHINI MWAO...AFRIKA WAMEPATA NINI?

MKE WA MUGABE SI MALIKIA?

NA KAMA SIVYO..NYIE MNAJUWA NANI AMEWATAJIRISHA WAZUNGU NA NANI KAWAFANYA WAAFRIKA MASIKINI?

NANI ANAWAPA WAAFRIKA SILAHA ZA KUUANA?

WANAWAPA SILAHA ZA KUUWANA KUMUONDOA MKOLONI MWEUSI...KWA KUSAIDIWA NA MKOLONI MWEUPE..MKOLONI MWEUPE ANA HAKI ZAIDI?
 
Mushi1
Tofauti ya Uingereza na Zimbabwe ni kwamba Waingereza hawalali njaa. Wao kwa hiari yao wenyewe wameamua kumpa Malkia wao mshahara. Je hivyo ndivyo ilivyo Zimbabwe?

Hao waingereza wasiolala njaa..Nani alikuwa akiwalisha?

Na kama ni kweli hawana njaa...ZIMBABWE WANATAFUTA NINI?

WALICHONYAG'ANYWA ZIMBABWE SI CHAKULA KWA MAWAZO YAKO..THEN NI BORA UNIAMBIE NI NINI!

MASIKINI WASIO NA ARDHI ZIMBABWE...NANI ANAWATETEA?

NYIE MNAWATETEA WATU AMBAO WANAKULA,KUSAZA NA KUKUFURU KUTOKANA NA CHAKULA CHA AFRIKA...NANI AMTETEE MWAFRIKA MWENYE NJAA NA MAGONJWA...VIPI KUHUSU HAKI YAKE?
 
Mushi1
Mimi sijabishana na uamuzi wa Mugabe kuwapa Waafrika ardhi, kama kweli anawapa Waafrika na si marafiki zake. Ninachopingana na Mugabe ni pale anapotembeza mkong'oto dhidi ya akina Chanjerai kana kwamba wao si Wazimbabwe. Ninachopingana na Mugabe ni pale raia wake wanapokufa njaa na mkewe kuendelea kufanya shopping kama Imelda Marcos wa Ufilipino. Ninachopingana na Mugabe ni kutumia vyombo vya dola kuwanyanyasa wale wasiokubaliana naye.
 
Kama waingereza hawana migodi ya almasi na dhahabu..je inakuwa vipi kuwa wao ndio wanazo kuliko sisi?
utajiri wao wameutoa wap?
Zimbabwe iliwalisha...Afrika ni NJAA..nani awalishe?
Kwa wale msiyoijua history ngoja niwape somo.
Karl Peters alisaini mikataba mara kabla ya mkutano wa kuligawa bara la Afrika huko BERLIN.
Wenye mawazo ya kumrudisha KARL PETERS...THEN WAJUWE TUTAPAMBANA NAO.
NANI ANAYEDAI KUWA KAMA AFRIKA NI RICH RESOURCES WISE ..THEN KWANINI STARVATION,HUNGER AND PREVENTABLE DISEASES NI PROBLEMATIC?
DIAMONDS ZA AFRIKA..NI ISHARA YA UTAJIRI WA MALIKIA LICHA YA KWAMBA HAWANA HAYO MADINI ARDHINI MWAO...AFRIKA WAMEPATA NINI?
MKE WA MUGABE SI MALIKIA?
NA KAMA SIVYO..NYIE MNAJUWA NANI AMEWATAJIRISHA WAZUNGU NA NANI KAWAFANYA WAAFRIKA MASIKINI?
NANI ANAWAPA WAAFRIKA SILAHA ZA KUUANA?
WANAWAPA SILAHA ZA KUUWANA KUMUONDOA MKOLONI MWEUSI...KWA KUSAIDIWA NA MKOLONI MWEUPE..MKOLONI MWEUPE ANA HAKI ZAIDI?

JMushi1
Haya ni maswali ya msingi kabisa ambayo sisi Waafrika tunatakiwa tujiulize!!! Na jibu la hayo yote tunaweza ku-summarize kwa kusema... Mwafrika aliponzwa na umbumbumbu wake!!
 
Majibu Pls!

Sisi ni masikini kwa sababu tupo wajinga.
Kama umetimia kisawasawa huwezi kupokea silaha ukamumiminia mama yako ili ujipaie chochote.

Kama umetimia kisawasawa huwezi kata mkono wa dada yako(albino) akiwa mzimamzima ukaingia nayo mitini eti ktk hilo ukiwa namatumaini kwa kutumia mkono wa albino utatokomeza umasikini.

Kama umetimia sawasawa huwezi kudaganywa zaidi ya maramoja na akina carl peters.

Kama umetimia sawasawa huwezi mpigia nungunungu kelekele eti miba yake inakunyima usingizi wakati wewe ndio umeingia ktk kujibanza ktk shimo lake.

Ukweli lazima tuseme ukweli wazungu wameendelea siku nyingi sana hata kabla ya kuja afrika jibu rahisi ni kwanini tulipokua tunapambana nao wao walikua wanatumia bunduki za risasi wakati sisi tukitumia majimaji??
Angalia vyuo vikuu wameanza lini na sisi tumeanza lini? Na tena bado narudi tena kujikosoa wenda sisi tumefanya speed la ajabu ku catch up huu mzunguko wa dunia.
 
mugabe6eg.jpg

bobthegobandthecow.jpg

grace.jpg

399724780_57c1799c76_m.jpg

340x.jpgHanging out with Zim's first shopper

By Claire Donnelly

http://www.newzimbabwe.com/pages/shopper.1156.html

20/06/03

AT HOME in Zimbabwe more than seven million of her people are starving. But as Robert Mugabe's wife Grace strolled around the most exclusive boutiques in Paris recently, the plight of the hungry and dying was the last thing on her mind.

Hiding behind £180 Christian Dior sunglasses and with a £25,000 diamond-encrusted Rolex hanging off her wrist, the First Lady of Zimbabwe spent a day doing what she does best - shopping.

After a £150-a-head dinner she and her husband retired to their £10,000-a-night, 33-room suite at the Plaza-Athenee, while back home families queued for meagre supplies of bread and cooking oil.
Grace, who at 39 is 40 years younger than her husband, has come to represent everything that is wrong with Mugabe's tyrannical regime.

Southern Africa's answer to Imelda Marcos, she is known in Zimbabwe as The First Shopper, a woman who has spent millions on foreign shopping trips, a sprawling home dubbed

Udaku, kwenye hili jukwaa si mahala pake
 
Hao waingereza wasiolala njaa..Nani alikuwa akiwalisha?
Na kama ni kweli hawana njaa...ZIMBABWE WANATAFUTA NINI?
WALICHONYAG'ANYWA ZIMBABWE SI CHAKULA KWA MAWAZO YAKO..THEN NI BORA UNIAMBIE NI NINI!
MASIKINI WASIO NA ARDHI ZIMBABWE...NANI ANAWATETEA?
NYIE MNAWATETEA WATU AMBAO WANAKULA,KUSAZA NA KUKUFURU KUTOKANA NA CHAKULA CHA AFRIKA...NANI AMTETEE MWAFRIKA MWENYE NJAA NA MAGONJWA...VIPI KUHUSU HAKI YAKE?

Ndugu yangu Jmushi1'

Nakubaliana nawe kwa mambo mengi tu lakini naomba nikuulize swali moja tu- katika maswali yako yote uki'substitute' neno waingereza ukaweka akina Mugabe na wanavyokula na kusaza huku wananchi wao wakilala njaa, je, hii inakubalika?

Naomba nikupe mfano wa nchi yako mwenyewe. Tanzanite is the “new kid on the block” of the gemstone kingdom. Tanzanite iligundulika karibu miaka saba baada ya sisi kupata uhuru na miaka michache baadaye ikawa 'craze' ya dunia. Tanzanite haipatikani popote kwingine dunuani isipokuwa kenye vilima vya Mererani, Tanzania na ndiyo ikapewa jina hilo.

Kiwanda kikubwa sana duniani chenye wafanyakazi zaidi ya 700 kinachofanya biashara ya bidhaa zinazotokana na Tanzanite kiko India.

Kuna ndugu yangu moja karibu alie machozi alipokuta tangazo kwenye nchi moja ya Ulaya ikisema - Ukitaka kuona Kilimanjaro, visit Kenya.

Nchi jirani ya Rwanda ambayo haina mbuga za wanyama biashara kama ya tembo za ndovu zinawaingizia mipesa kibao.

Kwa kujibu swali lako na mimi nasema, nani aitetee Tanzania na hizi dhulma za India, Kenya, Rwanda, Uingereza, Marekani etc. Does this make any sense to you. The truth is tunajitafuna wenyewe halafu tunabaki tunalialia. Je, nchi kama Singapore zisizo na resources kama zetu hazikuwa koloni vilevile. UFISADI wa sisi kwa sisi ndio utatumaliza.
 
Back
Top Bottom