Exclusive: Mhe. John Cheyo On KLHN "Live"

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,392
39,493
Baada ya kama nusu saa hivi tutaungana na Mhe. John Momose Cheyo (UDP Bariadi) kuzungumza nasi kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa yanayoendelea nchini na hususan suala zima la Meremeta.

Wote mnakaribishwa.
 
Sound card yangu imekufa. unajua hizi laptop za Dell zina historia mbaya kuhusu sound cards. Je utakuwa na transcripts?
 
Kwanini aliipigia KURA BAJETI YA MAFISADI NA KUKIUKA MAKUBALIANO NA WENZAKE?
JE CHEYO...WEWE UNA PRINCIPLE?
 
IDDI SIMBA NIFISADI LA EPA...MOMOSE ULIKUWA NAYE KAMATINI...

JE UNASAPOTI KUKAMATWA KWAKE?

KAMA UMESOMA RIPOTI ZOTE ZA UKAGUZI...SIMBA NI FISADI AMA SI FISADI?

NA KAMA NI FISADI...NI KIVIPI MUWE WOTE KWENYE MUSTAKABALI WA TAIFA ALILOSHIRIKI KIKAMILIFU KULIUZA?

JE WEWE MH CHEYO NI FISADI?
NA KAMA LA KWANINI?

UKILA NA FISADI NA WEWE NI NANI?

DENI LAKO LILILOPELEKEA MAHAKAMA KUKAMATA GHOROFA LAKO LIMEISHIA WAPI?

ccm WAMELISAMEHE?

WEWE NI MPINZANI AMA ccm?

Uko upande gani?

NINI MSIMAMO WAKO KUHUSU HATUA STAHILI DHIDI YA MAFISADI?
 
unaweza kujaribu sasa hivi tulikuwa tunabadilisha toka automated kuja "live" so ni vizuri kama unafunga player yako na kuifungua upya...
 
Mkuu Mkjj, tunakupata loud and clear!!

Question 1:: Mh Cheyo, Do U understand that the parliament has oversight powers over Jeshi through Ministry of defence??? If that is the case, will the PM be taken to task that there is no secret that MPS can be excluded from???

Question 2:: Will the opposition hold a shilling from the ministry of defence budget unless the govt comes clear on the stupid secrecy claim???
 
Mkjj, it doesn't matter Meremeta ziko ngapi??? Bunge lina oversight kote.

Unapoanza kusema issue za jeshi hazizungumziwi bungeni mnakosea na kupotosha.

Wabunge wawe strong na ikibidi watunge sheria
 
Cheyo yupo deep du!asante cheyo sasa nimepata mwanga kuhusu meremeta
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom