Hotuba ya Bajeti ya Mh. Waziri Mkuu

Ni hotuba nzuri, lakini mheshimiwa waziri mkuu hajaelezea ni kwa vipi serikali itarecover pesa za EPA au imesharecover kiasi gani,na kwamba itawachukulia hatua gani wahusika wa scandal hii, na pia hajaeleza ni kwa vipi serikali itatekeleza mapendekezo ya mwakyembe kuhusu Richmond, na kwamba serikali ina mpango gani na wahusika wa hii ishu. maana huwezi kulihakikishia Bunge kwamba una mipango mizuri kwa ajili ya mwaka/miaka ijayo, halafu hulielezei bunge ni kwa namna gani umetatua matatizo yanayokwamisha maendeleo hayohayo unayoyatamka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom