jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,017
- 24,632
Wana JF...Kuna Bwana mmoja namfahamu ambaye hata aliwahi kunipiga tuition ya MATH kwasana tu!
Ni mtu safi na mcha Mungu.
Anafanya kazi BOT kitengo cha supervisions!
Huyu Bwana sina CV yake kwasasa lakini najua aligraduate Cambridge huko UK. Na pia alipiga kitabu hapo Mlimani.
Kutokana na sifa zake za kutokupenda makuu, ukarimu, upole na utu wema...Kweli sidhani kama atakuwa alishiriki kwenye scandal ya EPA!
Sijawahi kumwuliza kuhusu haya maswala licha ya kwamba najua yeye kama Supervisions(Kabla hata ya kwenda Cambridge)Alikuwa na insight za jinsi mambo yalivyokwenda!
Kwani kwa mujibu wa Taratibu za kifedha huko BOT...Kitengo cha Supervisions nacho kiliplay big part kwenye kashfa hiyo!
Kwa vile ninavyomfahamu huyu bwana ambaye hataki kabisa mambo machafu...Nina RECOMMEND kuwa sasa tuanze kuwapa nafasi wazalendo wa kweli kwenye usimamizi wa mali za Taifa!
Kama kuna mwenye CV ya huyu bwana aimwage hapa.
Kama hakuna basi nitajitahidi kuitafuta.
Wakati huu ambao Taifa letu liko njia panda...Ni muhimu tuanze kuwafikiria watu kama kina Mung'ong'o..Fanya kazi ya Mungu Mr Mung'ong'o na utalipwa fadhila!
Huu ndio mwanzo.
Tunajua pia kuna wale wenye kuanza kupendekeza majina ya viongozi.
Wana jf naomba tunze kufuatilia wakombozi.
Hivyo basi nadiriki kuanzia kwa kusema...Imanuel Mung'ong'o for BOT GOV.