Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yafuatayo ni mambo ambayo yamekubaliwa kufanywa baada ya uongozi wa Mamlaka ya Bandari, Wizara ya Miundo Mbinu na Ikulu kukutana jana. Hebu tuyaangalie na tuamue ni yapi yalimhitaji Rais na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wana JF; Na hasa unayesoma post hii . . . . Je, ingetokea ukawa Rais wa Nchi hii, ungefanya nini Mwaka wa Kwanza na kwa nini?
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Kuna mzee mstaafu nilikutana naye alinieleza mambo ya ajabu ya namna ya kuinua mauzo ya bidhaa za Tanzania. Aliniambia kuwa Kuna kiwanda Tanzania kilikuwa kinajulikana kama LIGHT SOURCE...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kazi kweli kweli!!!! Kamata hiyo !!!! ================================================== Hokororo: Serikali ina mgogoro na Mwananchi Salim Said MKURUGENZI msaidizi wa Maelezo, Raphael...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mnajimu maarufu wa Tanzania leo ametabiri kuwa mwaka 2009 utakuwa mwaka mgumu kiuchumi (mwaka wa matatizo); pia akadai kuwa mwaka 2010 uchaguzi hautakuwa na kuibiwa kwa kura kama chaguzi...
0 Reactions
73 Replies
14K Views
Today marks the 80th birthday of the late great Dr. Martin Luther King Jr. As I sit here listening to his speeches being played on the radio, I couldn't help but wonder what kind of relationship...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
KAMPUNI hii ya mafuta ambayo inaelekea kuagiza karibu nusu ya mafuta ytanayoagizwa Tanzania, toka EWURA kutangaza kushushwa bei imekuwa ikitufanyia vituko kwa kuhakikisha karibu vituo vyao...
0 Reactions
124 Replies
17K Views
Wana JF, Katika kuhangaikia wanetu wanaorudishwa vyuo Vikuu kwa taratibu ngumu, nilimpa kampani kijana wangu kuelekea SUA. Nimefika kwa mara ya kwanza na kujionea ambayo yamekuwa yakiandikwa...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
UCHAGUZI 2010: :: Ni Chadema v/s CCM Tanzania Bara :: CCM v/s CUF Tanzania Visiwani :: Majimbo 50 tata haya hapa Na Waandishi Wetu UKIWA umebakia mwaka mmoja ili kufikia uchaguzi...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kuna nyumba za NSSF maeneo ya Ada Estate, Kinondoni zilizojengwa pamoja na hospitali ya Tanzania Heart Institute. Zimekaa tu hazipangishwi wala haziuzwi, kuna nini?
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Henry Daffa Shekifu ameitoa eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Burunge (JUHIBU) kwa "Wanakaya" (Dhana Investment) kama wawekezaji pasipo kufuata taratibu za...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
We have a large History which we never even cherish. Mwalimu Nyerere appreared in TIME Cover a paerson of March 1964 you can view article at TIME Magazine Cover: Julius Nyerere - Mar...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inakusudia kuja na orodha mpya ya mafisadi kama ilivyoandikwa katika gazeti la Nipashe (Jumatatu). Tunaelewa serikali ya SISIEMU bado inajikongoja...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425 PRESIDENT’S...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Watu wengi wamekuwa wanajiuliza ni kwa nini sasa kuna ufisadi sana kuliko miaka ya nyuma,wengi wa viongozi wamekuwa matajiri katika kipindi kifupi sana,uku wakiacha wananchi walio wengi katika...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Watanzania wenzangu, ninaandika hoja yangu huku nikiwa na majonzi tele kuhusu hatima ya elimu yetu Tanzania. Inaonekana wazi kuwa viongozi wa chuo na serikali imeamua kwa makusudi watoto wa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kuwakamatwa wamiliki wa Tashrif kuwe somo kwa wengine Gloria Tesha Daily News; Wednesday,January 14, 2009 @20:00 Ajali za barabarani hapa nchini si jambo jipya au geni masikioni mwako...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Mojawapo ya chaguzi ambazo zimekuwa na mvuto wa muda mrefu ndani ya CCM ni ule uliofanyika mwishoni mwa juma lililopita ambapo Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM (T) alipatikana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF; Leo nimesikia Dr. Karume akipigiwa Wimbo wa Taifa wa Zanzibar. Mjasiliamali naye alikuwepo. I might be out of touch . . . Hii ya "Dr" na "Wimbo wa Taifa Zanzibar" imekaaje?
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Kuna taarifa kwamba wamiliki wa Kampuni ya Richmond Development LLC, wanafikishwa mahakamani mchana huu, ikiwa ni dakika za mwisho za mahakama. Habari zaidi baada ya kuthibitisha
0 Reactions
77 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…