Kufufua topic - Hii ndiyo Richmond ya Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufufua topic - Hii ndiyo Richmond ya Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwafrika, Oct 13, 2009.

 1. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kuna topic ilikuwepo hapa jana ikieleza kuhusu chanzo cha Dowans na namna Richmond ilivyomezwa kiaina na Dowans. Iliweza kuonyesha pia kuwa Dowans ni kampuni hewa isiyo na ofisi wala viongozi wanaojulikana.

  Iliweka pia hotuba ya Kikwete akisema kuwa ametoa agizo against Dowans au richmond. Iliuliza pia maswali kuwa agizo la Kikwete lilitolewa lini, wapi na kwa nani (kama sikosei).

  Hiyo topic ni miongoni mwa wahanga wa matatizo ya kiufundi yaliyoipata JF jana. Sina hakika kama mzee mwanakijiji ana mpango wa kuianzisha tena ila kwa kweli ile topic ni muhimu sana kupita hivi hivi - hasa muda huu ambapo mgao wa umeme umerudi kwa kishindo.

  Ninajaribu kufufua ule mjadala kwa kuanzisha thread hii. Natumaini ule moto wa jana utaendelea tena hapa.

  Asante
   
 2. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2009
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  matatizo ya kiufundi yanahusiana vipi na kupotea kwa hii topic?
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  a million dollars question
   
Loading...