Live: KUTOKA BUTIAMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live: KUTOKA BUTIAMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NGULI, Oct 14, 2009.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Leo watz wanakumbuka kifo cha baba wa Taifa Mwl Julius K. Nyerere.Butima ndiko kumbukumbuku zinafanyika kitaifa, viongozi mbalimbali wakitaifa wapo hapa, brudani za ngoma zinaendelea na wakati wowote mh! Rais wa Jamhuri ya Munnganio-Kikwete atafika hapa badi sijafahamu kama atalihutubia taifa katika kilele hichi. Ila kumbukumbu zimefana sana.

  Na kama kuna sehemu yeyote watu wamekusanyika au kuna mdahalo wa kumuenzi mwl hata nje ya mipaka ya nchi yetu tungependa kujuzwa nini kinajiri huko.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Shida kubwa si ngoma na vinywaji, its about delivery! Wanaboa sana hao viongozi uchwara! Utakuta wameenda hapo na magari ya fahari, ambayo hata Mwalimu mwenyewe hakuwahi kuyaona au kuyapanda... Wamemuenzi Mwalimu kivipi?Wameipiga vita rushwa kivipi?Ni kwa kiasi gani wanaingia Ikulu kwa Usafi?Hapo kinachofanyika ni Ngonjera tu...yani kujiwekea fedha zaidi mifukoni kwa wale walio kwenye kamati za maandalizi... fyuuuuuu!!! Aibu!
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mkuu umekuwa mkali sn hapa, da! kweli unauchungu na hii nchi, mimi sio mzuri kwenye siasa nafikiri mpwa unafahamu, nimereport tu na baada ya kutuma hii thread net ilikata na hata hii post sijui kama utaisoma. Naona hapa ngonjera zimepamba moto watoto wako trained vizuri wametoa shoo kali ya martial arts nzuri.
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Je hapo wanamuenzi kwa ukweli na kimatendo au ni unafiki tu??
   
 5. b

  bambumbile Senior Member

  #5
  Oct 14, 2009
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumuenzi Nyerere kwa matendo na wala sio hizi sherehe na ngoma huku matendo yetu ni kinyume kabisa na aliyokuwa anasema Nyerere.
   
 6. N

  Nwaigwe JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 784
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 80
  Kama kawaida yake Mkapa bila aibu lazima awepo kumkumbuka shujaa aliyefanikisha ulaji wake
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Leo ni muhimu ahutubie alahiki ya watu sasa sijui kama hana uchovu tena wa safari
  Natamani afufuke hapo alipo awakemee hao mafisadi kisha akalale kwa amani
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  he kumbe che Nkapa yuko huko ?????
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  nipe news kama uko huko Butiama nikupe salaam sangu kwa mama Nyerere umfikishie
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Jamani achaneni na habari hizo za Butiama, mimi nina hasira hadi ninataka kupiga watoto wangu wanapofosi waendelee kuangalia hayo matumizi ya hela za serikali bila tija!...Mitumbo yao mikubwa mipana, kama magunia, na hawaoni aibu jinsi walivyo tofauti na wananchi wa kawaida...puuuuuhh!. Wananiboa mimi bana! Mikalio ndo usiseme.. Ukianzisha mada ya kujenga chuo kikuu hapo Butiama wataanza kuinamisha sura kama vile wanashikisha mtu ukuta!...sIWAPENDI HAO WANGEJUA...!
   
 11. M

  Mwambashi Member

  #11
  Oct 14, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kapuya katika salamu zake kamsahau Waziri kiongozi hadi akakumbushwa
   
 12. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Pole pole kaka usije toboa macho watoto
   
 13. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Zanzibar wamesema hawautambui Muungano leo huyo waziri kiongozi kafuata nini?
   
 14. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waziri Kapuya anataka kumkaribisha rais kuhutubia sijui ataongea nini,kwa sasa mh. anapumzika.Kapuya kisha ingiza mambo yake ya Simba sport clu kwa kuhoji kwanini haoni laki yake kwenye waimba halaiki bali rangi ya jangwani?????
   
 15. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #15
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280

  leo akisimama kwenye juwa wanamvalisha pama ..wameshajifunza....!!!
  ....na naona wamemuwekea mike mezani ..ataamua mwenyewe kama aongee akiwa amekaa au amesimama....na lingine ni kutoa hotuba fupi na straight to the point amalize akae...

  kuna haja ya kujali lakini hali yake nzuri!!
   
 16. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #16
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  komba anaimba hapa ....jk amekuwa too emotional ...anaimba ...anasimama kuendelea kuimba!!
   
 17. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #17
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  mama kikiwete anacheza utafikiri yupo kwenye mipasho....kwa kujirusha!!
   
 18. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #18
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  jk amekamata maji anapiga mafundo kudu kudu...nadhani anatafuta energy ya kuongea baada ya wimbo huu...
   
 19. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #19
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  wakurya na filimbi zao wanaingia...
   
 20. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #20
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  amepewa hotuba ...yupo busy ana i review....sidhani kama hii ni sababu ya kurefusha kidogo muda wa vikundi vya sanaa.....anapitia hotuba....[i guess hakupata muda wa kupitia kabla ya kuja kwenye hadhara]
   
Loading...