Wabunge wa ccm sio mfano mzuri kwa vijana wa Kitanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa ccm sio mfano mzuri kwa vijana wa Kitanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bulesi, Nov 4, 2009.

 1. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Wabunge katika nchi zote wanatakiwa kuwa mfano kwa jamii wanayoingoza na hasa kwa vijana. Jamii inategema kuwa sheria na kanuni zinazotungwa na wabunge kwanza kabisa zinatakiwa ziheshimiwe na kufuatwa na wabunge wenyewe.Sheria ya kuongoza Benki kuu ya Tanzania katika shuhuri zake ililtungwa na bunge na ili kufanikisha kazi zake Benki kuu nayo ina kanuni zake ambazo wabunge wanatakiwa waziheshimu; moja ya kanuni hizo ni kuwa ili kuondoa mgongano wa maslahi, wabunge hawatakiwi wawe wakurugenzi wa bodi za benki za umma, hata hivyo wabunge wa ccm wamekaidi agizo hilo toka benki kuu na kuendelea kuwa wakurugenzi wa benki hizo. Je kwa kukaidi agizo la benki kuu Waziri mkuu hapaswi kuhakikisha kuwa wabunge hawa wanaondolewa badala ya kuwa mfano mbaya wa kukosa maadili kwa vijana wetu?
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Pamoja na jitihada wanazozifanya kuibana serikali, wanayo matatizo kadhaa yenye kuhitaji majibu. Mi sijui wanafikiriaje
  Tumepoteza role models kabisa!!
   
Loading...