Kinachoingoza Tanzania ni nini? Je ni Katibaya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Katiba za Vyama vya Siasa na hasa Chama Tawala CCM?
Je Watanzania waliopewa majukumu na dhamana ya kuingoza...
Mwenzenu ninatatizwa na jambo moja nalo nihili la Umeme na maswala ya Dowans....
Nikifikiri kwa makini na kwakina natatizika, kweli hakuna mkono wa namna namna katika hili swala la kukatika...
Angalia kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2010 yafuatayo ni mafanikio ya miaka mitano ya kwanza ya Ari, Kasi Nguvu Mpya.
1. Mtanzania wa kwanza kufanya kazi Ikulu ya Obama
2. Mtanzania wa...
Opiyo Oloya
THERE is a growing feeling around the globe that the war on terror is mostly being won, but those with keen eye-sights know terror is just starting. What is more, every forward...
Wakulima wa tumbaku wajipatia mabilioni
Na Lucas Macha
1st October 2009
Shamba la tumbaku.
Wakulima mkoani hapa wamejipatia Sh bilioni 149 kwa kuuza tumbaku katika...
Waziri Mahanga akimbilia mahakamani kudai fidia ya Sh3bilioni
Na James Magai
10/26/2009
NAIBU waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana Dk Makongoro Mahanga amemshtaki mkazi wa jijini...
Switch on Dowans, IPTL now, businesses tell Government
By Bethuel Kinyori and Florence Mugarula
THE CITIZEN
2009-10-21
The Independent Power Tanzania Limited (IPTL) and Dowans electricity...
Natumaini wakuu mnafahamu maana na aina za ukoloni. Katika maana zote, ipo moja ambayo tumekuwa tukiiimba bila ya kuzama kwa undani kuitafakari. inaposemwa ukoloni ni hali ya jamii moja au...
Ukiangalia nchi za watu......hasa marekani
utakuta watu wanaoandika vitabu mbbalimbali pamoja na
vitabu vya maisha ya watu maarufu,viongozi na wengineo
utakuta wengi wa wandishi hao ni waandishi...
Kundi la magaidi wa Somalia la Alshabab limetishia kupiga Bujumbura na Kampala.Kundi hili ni tawi la Alkaida la Osama Bin Laden.Makundi yote haya huamini utumiaji wa njia haramu ili kuweka...
Nina kumbukumbu kuwa waziri mkuu alionyesha uwezekano wa viongozi wa ngazi za juu serikalini kupunguza matumizi ya magari ya kifahari. Nazidi kujiuliza ni nani hasa anayeweza kutoa amri hiyo na...
* Asema wamehojiwa bila kufuata taratibu, kanuni
* Shellukindo akiri kuhojiwa, ahusisha na Richmond
* TAKUKURU: Tuko sahihi, hakuna aliye juu ya sheria
Na Edmund Mihale
Majira
26 October 2009...
Kama ungelikua ni mwenyekiti wa chama chochote cha upinzani na unadai kama una wawakilisha au unapigania haki za wanyonge (walalahoi) walio wengi tanzania, na chama chako kikafanikiwa kupata...
Baada ya kusoma post nyingi na kufuatilia kasumba la Umeme Tanzania, Hitimisho limekuwa simple: CCM IMETUPIGA CHANGA LA MACHO. Lakini cha kufurahisha zaidi ni kwamba hii haikuwa mara ya kwanza...
Tanzania imeshatawaliwa na marais wanne tofauti, maarufu kwa jina la awamu nne. Akianza J.K. Nyerere, Alhaji Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Che Mkapa na J.K. Mrisho.
Kwanza, kabla sijaendelea...
22nd October 2009
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, amejikuta akikumbana na mauzauza ya aina yake katika ziara yake ndani ya wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro...
*Selelii, Kimaro wataka afikishwe kortini
*Walaumu serikali kwa kutoa majibu ya ovyo
*Lowassa: Sizungumzi na vyombo vya habari
Waandishi Wetu, Dar, Dodoma
Majira
26 October 2009
WAKATI...