Iddi, Simba wa Nyika Nguruma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iddi, Simba wa Nyika Nguruma!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Oct 27, 2009.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mhh, Iddi Simba, mzawa, mchacharikaji, muadilifu, msema kweli, mchapa kazi yu wapi shujaa huyu?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ndugu Wakala, nyoosha lugha...bila shaka amekuagiza kwamba anataka Jimbo la Ilala tena 2010!

  Weka mambo hazarani Reverend, ya nini unafanya konakona?!
   
 3. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Iddi Simba alishaweka bayana 2005 kuwa yeye ubunge BASI anataka Urais na aligombea.

  Kwa misimamo yake huwa harudi nyuma. Sasa hivi ameamua kupumzika nyumbani kwake mikocheni na hata ile kampuni yake INTERFINAS( International Finance Advisory servises) amemwachia kijana wake SAID anaendeleza yeye ni mwenyekiti tu na mtoa mada mbalimbali pindi akihitajika
   
 4. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Kuuliza si ujinga na wala hakunifanyi kuwa wakala. Hata kama nikiwa wakala, kinakuwashia nini? Mbna humpigii debe wa kwako?
   
 5. J

  JokaKuu Platinum Member

  #5
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,136
  Trophy Points: 280
  Rev.Kishoka,

  ..nadhani Idi Simba alitolewa kafara wakati alikuwa akitekeleza maamuzi ya baraza la mawaziri.

  ..sijui kwanini wabunge walikuwa wanamuogopa Mkapa kiasi kile.

  ..mpaka leo siamini kwamba wabunge na press nzima walikuwa wanamwandama Sumaye kwa kukodisha shamba la eka 7 pale Kibaigwa, wakati Mkapa amekwapua mgodi wa Kiwira.
   
 6. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  JokaKuu,

  Ukiwauliza kwa nini walimtoa kafara, hawatakuwa na uwezo wa kukupa jibu.

  Mambo mengi Tanzania yanafanyika Kisiasa mno badala ya kufanyika kiutendaji na kuwajibisha mtu kiutendaji. Gharama yake ni haya ya kuoneana haya ndani iya chama na kutoleana ghadhabu za uongo Bungeni!

  Simba ni mtu mahiri sana, na tunamhitaji kwa maana yeye ameweka maslahi ya Mtanzania mbele.

  Lakini si tulishamzushia eti yeye ni Mtutsi wa Rwanda au Burundi na kelele nyingine ikiwa ni kawaida ya kuchafuana ndani ya CCM?

  Watu wanaacha kupima uwezo na utendaji kazi wa mtu, wanakimbilia majungu ya kisiasa ya kuogopa fulani akivuma na kuonekana anachapa kazi kwa bidii, basi atagombea urais na kuwanyima wengine fursa, hivyo watu huanza kuzibiana!
   
 7. K

  Koba JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  hakuna cha kafala wala nini,yeye mwenyewe alitoa vibali illegal vya sukari na hata kama alilazimishwa alikuwa na uwezo wa kukataa na kuacha kazi,na siasa zake za uzawa ni kuongeza matatizo tuu na hazina nafasi yeyote dunia ya leo!
   
 8. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Zaidi ya rhetoric za uzawa, smear ya rushwa ya sukari and the eventual surrendering, huyu bwana amefanya nini concrete?
   
 9. K

  Koba JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...nothing!
   
 10. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Taratibu kaka, nothing is nothing.

  Si wanasema kaanzisha vi financial movement?

  Ukitaka kumchambua mtu usiache kuangalia his best work.
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Oct 27, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,669
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Bongo nani amefanya kitu au vitu "concrete"?
   
 12. K

  Koba JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...financial movement in what sense? alianzisha tuu his own firm/company/fund kukamua profit au worked in policy/bill iliyo affect our financial industry (for the bettrer)? sijawahi kusikia zaidi ya vibali vyake sukari na uzawa nonsense politics!
   
 13. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  John Mashaka wa Wall St. South :)
   
 14. K

  Koba JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...Mashaka kufanya kazi kwenye hizo financial firm za charlotte naona imekuwa issue,kuna investment banker kibao watanzania wamejaa new York,IB ni kazi nzuri lakini sio inakufanya uonekana a standout!
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Oct 27, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,669
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Lol...

  Kwani Mashaka ni Investment Banker au? Title yake hasa ni nini?
   
 16. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  I see you totally missed not only the boat, but also the entire monsoon season.

  You may do well to familiarize yourself with the various forms of sarcasm, satire, slapstick etc.
   
 17. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180

  Koba,

  Much about nothing, sema ni kitu gani alivurunda na ukiweke kwa hoja si single line!
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  naona mchungaji specifically IS BOUNCING THE GUYS BACK! ii wonder,why are you guys doing all these?
   
 19. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  watu kama hawa huwa hawapewi nafasi nchini kwetu na makundi yalioshika nchi kwani wanajua wazi wana lengo la kujenga nchi na sio kubomoa kama wao wanavyofanya.
   
 20. s

  shabanimzungu Senior Member

  #20
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  IDDI SIMBA is outlived his usefullness!!!!!!11111
   
Loading...