Magaidi wa Alshabab na Tanzania wapo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magaidi wa Alshabab na Tanzania wapo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Netanyahu, Oct 28, 2009.

 1. Netanyahu

  Netanyahu Senior Member

  #1
  Oct 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 148
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kundi la magaidi wa Somalia la Alshabab limetishia kupiga Bujumbura na Kampala.Kundi hili ni tawi la Alkaida la Osama Bin Laden.Makundi yote haya huamini utumiaji wa njia haramu ili kuweka serikali ya kiharamia iliyojificha nyuma ya uongo wa kisingizio cha kusimika serikali za kiislamu.Wana msemo usemao tumia njia haramu kuingia madarakani ukishaingia simika serikali ya kiislamu inayofuata sharia (udikiteta wa kisingizio cha sharia)

  Kwa kuwa huamini kutumia njia haramu ndio maana Maeneo yaliyo chini ya Alkaeda kule Afghanistan na Pakistan ndiko kuna mashamba makubwa ya mihadarati na viwanda vya madawa ya kulevya.Hulima mihadarati na bangi na kutengeneza madawa ya kulevya kuyatumia na kuyauza na kasha hununua silaha na kuanza kupigania kinachoitwa jihad baada ya kuuza madawa ya kulevya na bangi na wakishazivuta.

  Tunachoweza kusema ni kuwa uislamu unapoiganiwa na wakulima wa bangi na wauza mihadarati na wavuta bangi na watumia madawa ya kulevya wa Alkaida na Alshabab.

  Alkaida walifurahia kuingia Somalia sababu Waislamu wa Somalia ni kama waislamu wa Afghanstan kwa kupenda madawa ya kulevya kwani wasomali ni watumia mirungi wa kutupwa kuanzia masheikh hadi maimamu wao.

  Tanzania ilipiga marufuku mirungi kwa kuiweka kundi la madawa ya kulevya lakini Somalia huliwa kabla ya swala na baada ya swala.Palipo na wasomali wengi biashara nyingi haramu ziwe pembe,vipusa,mirungi n.k ruksa kama ilivyo ruksa Afghanstan na Pakstani kule waliko Alkaeda wengi.Hivyo Alkaeda waliona Somalia panawafaa zaidi.Somalia ni Afghanstan ya Afrika wakati Alshabab ni Alkaeda ya Africa.

  Biashara kuu za Alkaeda na alshabab ni madawa ya kulevya,Silaha na wapiganaji wa kukodiwa (mamuluki) na huwasafirisha katika nchi mbalimbali kupigana huko.

  Afrika mashariki wameshaingia kwa kujifanya wafanyabiashara.Wako kampala,Nairobi,Dar es salaam.Hufanya biashara hizo na pia kujifanya wanaharakati wakereketwa wa misikitini wakizunguka na kulala misikitini na kujifanya walimu wa uislamu koko n.k Wakiingia mahali biashara ya madawa ya kulevya lazima iamke na vurugu za ukereketwa wa uislamu lazima ziamke.Biashara haramu zilizosahaulika kama pembe za ndovu,faru,vipusa n.k nazo huanza kuamka tena.

  Je alkaeda huanzia wapi kuanzisha vurugu na vita zao? Mara nyingi huanzia kipindi cha kuelekea uchaguzi,wakati wa uchaguzi au baada ya matokeo kutangazwa.Huanzisha mapigano kwa kawaida huvaa kininja wakifunika nyuso zao.Huvaa kininja wakifunika uso sababu hawapendi kujulikana kwa wale wanaopigana nao wawajue kuwa si raia.Wengi wanaovaa kininja wakati wa mapambano iwe Palestina,Afghanstan,Somalia,nk huwa si raia ni askari mamuluki waliokodiwa toka nchi mbali mbali kupigana.

  Pemba Uchaguzi uliopita waliingia wachache ambao walikuwa wakivaa kininja wakipambana na Polisi uchaguzi ule mwingine.Bahati nzuri jeshi liliwadhibiti wakatorokea mombasa kabla ya kutokomea gizani.

  Uchaguzi unakaribia nchi nyingi za Afrika Mashariki na kuna mlundikano mkubwa wa Wasomali wanaoingia nchi hizo kuishi kwa kisingizio cha biashara n.k lakini kuna harufu na minong`ono kuwa huenda tukawaona Alshabab waliovaa kininja kabla,wakati au baada ya chaguzi za Uganda,Burundi,Rwanda,Kenya na Tanzainia.Na Kwa Tanzania tusishanga kuona Alshabab waliovaa Kininja wakifunika nyuso zao wakipambana kiume na majeshi yetu hasa kule Pemba kabla,wakati wa kuelekea uchaguzi au wakati wa uchaguzi au baada ya uchaguzi.

  Ujumbe kwa Jeshi ni kuwa likiona mtu yeyote kavaa kininja kafunika uso iwe katika maandamano ya chama au la wasambaratishe kichwa chake kwa risasi si raia wa Tanzania huyo aweza kuwa Alshabab la kisomali au Afghanstan Raia mwema wa Tanzania hana haja ya kuvaa kininja.

  Wapiganaji wa Alkaeda na Alshabab ni wakatili mno kwani ukatili huo hutokana na utumiaji ulevi wa mirungi mihadarati,madawa ya kulevya na imani potofu ya jihad waitumiayo kama kisingizio cha agenda zao za kiharamia za kuua watu na kusimika serikali katili mno inayoongozwa na wavuta bangi,wakulima na wala mirungi,na walima mihadarati na bangi wa alkaeda na Alshabab.Alshabab na Alkaeda ni makundi ya wahuni wasiostahili kuitwa watetezi wa Uislamu na wapenda uislamu na wasioupenda.

  Swali ni je Alshabab wako Tanzania? Je wasomali wote waliofurika miji mikuu ya Afrika Mashariki je wote ni wafanya biashara? Je wote ni maalim,na Masheikh wa wakufundisha uislamu miskitini? Jibu sijui tusubiri tuone.Chaguzi zinakuja.

  Kila la heri majeshi ya Afrika mashariki yanapojiandaa kuwazingira na kupiga mikundu ya wapiganaji wa ALSHABAB na makombora ambao wanataka kushambulia kampala na Bujumbura na baadaye kuelekea Pemba na Mombasa.

   
Loading...