Kikwete aamuru mitambo ya IPTL iwashwe mara moja! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete aamuru mitambo ya IPTL iwashwe mara moja!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Oct 21, 2009.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,813
  Likes Received: 83,194
  Trophy Points: 280
  Switch on Dowans, IPTL now, businesses tell Government

  By Bethuel Kinyori and Florence Mugarula
  THE CITIZEN
  2009-10-21

  The Independent Power Tanzania Limited (IPTL) and Dowans electricity plants, currently lying idle in Dar es Salaam, should be switched on immediately, the business community and private sector have advised.

  The Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) yesterday urged the Government to put aside politics and strive to come up with lasting solutions to the current power crisis.

  These include the switching on of privately owned emergency power generators to prevent a further rise in the cost of doing business.

  Meanwhile, the Parliamentary Committee on Energy and Minerals was told yesterday that the turbine that broke down three weeks ago at the Songas gas-fired power plant in Dar es Salaam would become operational again before the end of the week.

  However, the 20MW that will be generated will be way below the 150MW shortfall on the national grid, which has prompted Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) to cut power to consumers for up to 14 hours daily.

  TPSF chairman Elvis Musiba yesterday called for the intervention of President Jakaya Kikwete.

  "We urge the President to intervene and allow the IPTL and Dowans generators be switched on immediately," he said at a meeting in Dar es Salaam.

  Energy and Minerals deputy minister Adam Malima refused to comment when reached by telephone.

  "For how long are you going to torture us with your questions? How did you get my number? I'm in a meeting. If you have any questions, write them down and bring them to the ministry and they will be answered," he said and hang up.

  Our calls to State House director of communications Salva Rweyemamu went unanswered.

  Mr Musiba said the IPTL and Dowans generators had a total capacity of 160MW, adding that the power crisis would end immediately if the plants were used to supply electricity to the national grid.

  The IPTL diesel generators in Tegeta, Dar es Salaam, are capable of producing 60MW, while the controversial gas-powered Dowans generators in the city's Ubungo area can produce 100MW.

  "The machines are there. The only problem is that the whole issue is being politicised. The Government needs to seriously consider the impact the rationing is having on the economy," Mr Musiba said.

  No part of the country should be left without electricity for more than eight hours a day, he said, and added that repercussions for the business climate would be "dire" if the rationing went on for three months or more.

  "There are some matters of national importance in which the emphasis should be on the economy and business environment rather than politics. This is one of these matters,"he said.

  Members of the business community concurred with the TPSF appeal, noting that they had been struggling to remain in business since the rationing began earlier this month.

  "No tourist can tolerate lack of electricity in a hotel. We have to use generators, which are very expensive to run. The money spent on running generators could have been reinvested in the hotel, but it is channelled elsewhere," said Mr Pascal Rutalaka.

  Meanwhile, the Parliamentary Committee on Energy and Minerals said Songas Company was working around the clock to repair its 20MW generator, which broke down earlier in the month.

  Addressing reporters after the committee met with Songas officials for several hours, the committee's chairman, Mr William Shelukindo, said they had been assured that the generator would start operating on Friday.

  He said, however, that it was unlikely that the rationing would end when the turbine started operating again.

  "We cannot assure Tanzanians that power rationing will end after the turbine starts working because the demand is huge compared to what the machine can generate," he said.

  Mr Shelukindo said the committee could not, at the moment, quantify in monetary terms the loss the economy had suffered as a result of the rationing, adding that ample time was needed to make accurate calculations.

  The suggestion by TPSF came at a time when government officials were engaged in discussions with IPTL managers on how the Tegeta plant could be used to address the power shortage.

  Energy and Minerals minister William Ngeleja has been quoted as saying that the move aimed to mitigate the impact of the power shedding blamed on reduced power production at various hydroelectricity plants.

  He admitted that the Government currently did not have sufficient resources to invest in the energy sector, but dismissed suggestions that the State should nationalise privately owned power plants.
   
 2. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2009
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  where is mwanakijiji when we need him most?
   
 3. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Jakaya M. Kikwetwe ameamuru mitambo ya kuzalisha umeme ya IPTL iwashwe mara moja, mitambo hiyo ina uwezo wa kuzalisha umeme wa 80MW -100MW huku akiitaka wizara ya Sheria na katiba kufuatilia maswala yote ya kisheria juu ya Serikali na IPTL.

  MJ
   
 4. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mh. Ameshtuka na ile thread ya leo inayomsifia Lowasa, sasa ameamka.
   
 5. WAFANYABIASHARA na wawekezaji nchini katika kongamano la kujadili fursa za utalii nchini mjini Dar es Salaam, jana, Jumanne, Oktoba 20, 2009 walimwomba Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuingilia kati matatizo ya sasa ya mgawo wa umeme kwa kuruhusu kuwashwa kwa mitambo ya kuzalisha umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).

  Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, inapenda kufafanua kuwa tayari Mhe. Rais ameingilia kati kumaliza mgawo wa sasa wa umeme nchini.

  Tokea majuzi, Mhe. Rais alikwishakutoa maagizo kwa Wizara ya Nishati na Madini, pamoja na Kampuni ya TANESCO, kuchukua hatua za kuhakikisha mitambo ya kuzalisha umeme ya IPTL inawashwa, haraka iwezekanavyo, na umeme unaanza kupatikana.

  Kutokana na kuharibika kwa mitambo ya kuzalisha umeme ya Songas, Ubungo, mjini Dar es Salaam, na Kihansi, Mkoani Iringa, Gridi ya Taifa ina upungufu wa megawati 80, ikiwa ni megawati 20 ambazo kwa kawaida huzalishwa na Songas, na megawati 60 ambazo huzalishwa Kihansi.

  IPTL kwa sasa haizalishi umeme. Lakini ina uwezo wa kuzalisha megawati 90 hadi 100. Hizi zinatosha kuziba pengo la sasa la megawati 80 katika Gridi ya Taifa, na kumaliza mgawo wa sasa wa umeme.

  Ni kweli kwamba IPTL iko kwenye mchakato wa ufilisi ambao unaendelea sasa mahakamani, lakini Mhe. Rais Kikwete ameelekeza kuwa mchakato wa ufilisi mahakamani hauzii mitambo ya kampuni hiyo kuwashwa na kuzalisha umeme wakati malumbano ya kisheria yakiendelea kortini.

  Katika kuhakikisha kuwa umeme unapatikana haraka iwezekanavyo, Mhe. Rais Kikwete ametoa maagizo mbalimbali kwa Wizara za Serikali kama ifuatavyo:

  a) Wizara ya Nishati na Umeme, kwa kushirikiana na TANESCO, imeagizwa kusimamisha masuala yote ya kiufundi ikiwa ni pamoja na upatikanaji haraka wa mafuta, ili umeme huo wa IPTL uanze kuzalishwa mara moja.

  b) Wizara ya Fedha na Uchumi imeagizwa kuhakikisha kuwa inatafuta fedha za kuwezesha ununuzi wa mafuta na mahitaji mengine muhimu, ili umeme uweze kuzalishwa.


  Kutoka: Ikulu
   
 6. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hizi taarifa nimezipata hivi punde mwenyewe maana bado niko ofisini nikiendelea na ujenzi wa taifa.
  Kama ni hivyo basi kuna jema hapa ila tayari Ngeleja alisema kuanzia wiki ijayo mgao utapungua!
  Angalau JK anatupa moyo hoping kuna jema maana huyu jamaa mambo yake hayaishi!
   
 7. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2009
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,147
  Likes Received: 23,824
  Trophy Points: 280
  What?. Sasa mbona kipindi chote watu wanaumia na mgao wa umeme wao walikuwa wanavuta miguu tu, kweli bongo tambarare!.
   
 8. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  JK alikuwa anamsubiri Ngeleja, lakini amegundua kuwa jamaa ni bomu la wakati.
   
 9. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kama kawaida siyo kwa uzalendo wake binafsi ameingilia hili suala bali kwa shinikizo la wawekezaji na wafanya biashara!

  Na kama sio hao mgao ungeendelea kwa kwenda mbele!
   
 10. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  JK amesambaza taarifa hii kwenye vyombo vya habari bila kumjulisha Ngeleja, Jamaa mpaka sasa anaongea pumba tuu.
   
 11. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mkuu Kevo heshima mbele kiongozi.

  JK alikuwa anajua waziri Ngeleja angeweza kutatua hili tatizo, kumbe hakujua jamaa ni bomu vibaya sana.

  Si kila kitu anatakiwa kufanya yeye ndiyo maana ana mawaziri na mawaziri ni watu wakubwa sana serikalini, sisi wetu sijui hawajui hilo.
   
 12. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kikwete is now facing a Truman moment.
   
 13. K

  Komavu Senior Member

  #13
  Oct 21, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamaa hafanyi maamuzi hadi watu walalamike, kwanini hakufanya hili tangu mwanzo?

  This country bwana..........
   
 14. Zitto si alishauri the same thing?
   
 15. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145

  Hahaha hivi anatumia ID gani humu jukwaani, au ndiyo mkuu MegaPyne...lol
   
 16. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Sasa hapa ndio tutaona Uzuri wa kuwa na Viongozi wanaotumia akili.Mheshimiwa Zitto alilisema hili mapema wiki iliyopita kwamba serikali itoe maamuzi ya kutumia 100MW za IPTL huku kesi ikiendelea kutafuta uhalali wa kumiliki mitambo hiyo.Naweza kusema kuwa Bravo Zitto kwa kujali watanzania!
   
 17. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hili lingeweza kufanyika siku ya kwanza ya Mgao, lakini wamesubiri mpaka week tatu-mwezi ndiyo wafanye maamuzi kama haya.

  Hivi hizi akili mbofu mbofu walizonazo viongozi wetu ni matokeo ya chakula tunachokua au ni nini..?
   
 18. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Alikuwa anasubiri wawekezaji na wafanya biashara wakubwa walalamike!

  Wao ndio wana-feel hili tatizo zaidi ya Mtanzania wa kawaida!
   
 19. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Amri atoe mwingine sifa apewe mwingine...Duh! Mwenye kupenda chongo huona kengeza!
   
 20. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Nani wakupewa credit, aliyetoa idea na ushauri au mtekelezaji asiyefikiri.?
   
Loading...