Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Prof.Shivji ni mtu mtaalamu na anajua anachokizungumzia.Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya watu ambao wengi hawajuwi hali halisi ya visiwani Zanzibar na wala hawaathiriki na vurugu za huko...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
kwa sababu tumekubali kuwa watawala wao wanastahili maisha ya heri. HIvi mnakumbuka zile nyumba za mawaziri zilijengwa kwa kiasi gani kila moja? Ni mawaziri wangapi wanaishi kwenye nyumba zile? Je...
0 Reactions
53 Replies
8K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mzee Msekwa akiwa kwenye mjadala uliendeshwa na TBC1 kuhusu swala la Mwafaka wa Zanziba. Mzee Msekwa alijikuta ukweli juu ya yaliotokea Butiama ukitoka wenyewe na...
0 Reactions
81 Replies
11K Views
Kongamano kupinga ufisadi lahusishwa na chama kipya KONGAMANO kubwa la kupinga ufisadi linatarajiwa kufanyika Dar es Salaam kuunga mkono juhudi za Serikali za kuwachukulia hatua watuhumiwa wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
na Makuburi Ally WAKATI Rais wa Benki ya Dunia, Robert Zoellick anatarajia kuzuru Manzese jijini Dar es Salaam wiki ijayo, wajumbe wa mitaa ya Mwembeni na Midizini wamegoma kushiriki shindano la...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
na Deogratius Temba KIKAO cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika jana Ikulu jijini Dar es Salaam, kimeikwamisha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu kujadili utendaji hafifu wa Kampuni ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
GDP* Per capital Country ($) Sierra Leone 400 Tanzania 523 Burundi 591 Malawi 615 Ethiopia...
0 Reactions
70 Replies
8K Views
Laxity in vehicle inspection costs govt 12bn/- By Felister Peter 23rd January 2010 BS given three months to ensure all car imports screened locally Tanzania Bureau of Standards(TBS)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sasa kusema serekali inapuuza maagizo ya Bunge si ndio kusema kama unapuuza matakwa ya wananchi.Ikiwa Bunge ndio linawakilisha wananchi, na wanapigia kelele wabunge ndio kilio cha wanyonge na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mbunge wa Maswa, John Shibuda (CCM), amebadili msimamo wake na safari hii ameibuka na kumpigia debe Rais Jakaya Kikwete. Akizungumza wakati wa ziara ya Rais Kikwete mkoani Shinyanga juzi, Mbunge...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Uteuzi wa Wagombea upo katika ngazi mbili: Uteuzi wa Wagombea katika Vyama na Uteuzi wa Wagombea katika Tume ya Uchaguzi. Uteuzi wa ndani ya vyama unasimamia na katiba, kanuni na taratibu za vyama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
SHEIKH YAHYA AMETUMWA NA NANI? KAMA kuna watu walioibua mijadala mizito kutokana na kutoa “hoja mufilisi” katika kipindi cha mwaka jana miongoni mwao ni Sheikh Yahya Hussein aliyetabiri...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndugu wana JF, sijaona thread yoyote inayozungumzia hoja ya mgombea binafsi. Naona hoja hii ina maana kubwa sana kwa watu wenye kutaka kuingia kwenye siasa ila wanakwamishwa na mambo ya vyama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Quick Facts Population: 42.5 million GDP (PPP): $53.7 billion 7.5% growth 7.2% 5-year compound annual growth $1,263...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KWA kuwa siasa (nikimaanisha siasa safi) ni hitaji muhimu la maendeleo kama alivyowahi kusema hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere; basi uendeshwaji wa uchaguzi (kwa maana ya uchaguzi huru...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Na Sadick Mtulya Mwananchi Januari 19, 2010 KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imepanga keshokutwa kuwa siku ya kumwita gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT)...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Nimetaarifiwa kuwa Muda si mrefu rais JK ataingia hospital ya bugando mwanza kuwaona majeruhi wa ukerewe na wale askari waliopata ajali shinyanga. Yeyote aliyekaribu na maeneo hayo atupe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
viongozi wetu wanatutisha sana kuhusu kenya wanatuambia tutakua soko la kenya lakini hawatutishi kuhusu uchina, ki takwimu mwaka jana tuliuza bidhaa kenya zaidi ya walivyouza kwetu kwa takribani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika kipindi cha wiki tatu nitafanya safari kadhaa katika nchi takriban nne hivi ikiwa ni katika kuweka sawa masuala yangu huku ughaibuni kwani februay nitarejea nyumbani ambapo pamoja na mambo...
0 Reactions
169 Replies
14K Views
Mtoto wa kigogo ahusishwa tukio la ubakaji hoteli ya KNCU Daniel Mjema,Moshi MTOTO wa mfanyabiashara mashuhuri wa mjini Moshi (jina tunalo), ametiwa mbaroni na polisi kwa tuhuma za...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…