Tanzania 2nd Poorest country in the world....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania 2nd Poorest country in the world....?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mambo Jambo, Jan 20, 2010.

 1. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  GDP* Per capital
  Country ($)
  Sierra Leone 400
  Tanzania 523
  Burundi 591
  Malawi 615
  Ethiopia 668
  Niger 746
  Guinea-Bissau 755
  Dem. Rep. Congo 765
  Mali 797
  Congo 825


  The United Nations has categorized the poorest countries of the world based on three major criteria. They are annual gross domestic product below $900 per capita and the quality of life that is a function of life expectancy at birth, per capita calorie intake, primary and secondary school secondary enrollment rates and adult literacy rate. The third criteria is economic vulnerability which mainly depends on the stability in agricultural production, export and import.

  About 60% of the poorest countries in the world faced civil conflicts that was followed after a period of economic depression. The poorest countries in the world along with their per capita income level is given in the following table.


  Source: - United Nations, Human Development Report

  My Take: Nchi yetu imekua na amani from day one, nchi nyingi zimekuwa na uchumi dhaifu kwa sababu ya vita na machafuko mengine sisi tatizo ni nini...mr president why are we the world's poorest country?.
   
 2. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Uswahili umetuponza.Waswahiili wanapima maendeleo kwa kuangalia nyumba za masaki,mbezi etc.
  -Nenda hopsital temeke ujionee mwenyewe
  -vijijini watoto wanakaa chini darasani
  -hatuna access ya madactari (MD) sio medical assistant,hawa ulaya hawashiki mtu kabisa
  -access ya umeme

  hata vyoo vya kuvuta,ni kipimo vilele
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Simply because watu hawazalishi, au wanazalisha vitu visivyo na thamani, na ukichukuliwa wastani wa kipato kwa nchi ndio hivyooo tena..kituko.
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280

  Hiyo HDR ni ya mwaka gani..
   
 5. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #5
  Jan 20, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Hata sishangai.habari ndio hiyo!tutashika mkia mpaka tuache uombaomba.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Whatever it could be!

  Tanzania ni ileile since Time immemorial!

  With all its beauty, richness, and strong people...all wasted in vain.

  Nasikia kichefuchefu!
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  blah blah miiiiiiiiiiiiiiiiiiingiiiiiiiiiiiiiiiiiii HAMNA LOLOTE!
  INASIKITISHA SANA
   
 8. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Sishangai kabisa kwa maana kazi za production hatufanyi - viwanda tumeviua - mashamba ya mkonge, kahawa etc hakuna kitu.

  Sekta ya madini ndiyo haichangii chochote tumewapa wa sauzi wanajichimbia wanabeba midhahabu makwao, hata kuvua samaki hatuwezi tumewapa wahindi wahindi wako na viwanda wanategeneza mabillion ya mihela wanapeleka makwao.

  Sasa tumeamua kuwa wachuuzi - kwenda China, Dubai kuleta makolokolo na kuuziana - utaendelea vipi as a nation kama na sisi hatuwauzii wenzetu vya kwetu?

  Pia tumefungua milango yote - hapo ina maana chochote kiingie thats good lakini ni hatari sana kama wewe hufanyi exportation kwa wenzako, business inakuwa one way traffic - wapi na wapi?

  Taifa la wachuuzi.... ni sawa na kusign contract ya kuwa maskini milele.

  Rudisheni viwanda, Fanyeni mapinduzi ya kilimo / siyo udanganyana na kilimo kwanza - aibu.
   
 9. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jana nilikuwa kwenye daladala majira ya saa 12 jioni wakati kuna foleni kubwa barabarani. Wazee wawili walikuwa wameketi seat ya nyuma yangu wakawa na maongezi ambayo yalinifurahisha maana walikuwa wakikumbuka mazuri ya zamani. Wazee wale walizungumzia mambo chungu nzima yanayohusu nchi yetu. Waliongelea habari ya Tanzania kuwa na viwanda vya kila aina, walizunguzia michezo jinsi Tanzania ilivyoweza kuwa na wachezaji wazuri wa mpira na riadha hata kuweza kushinda mashindano ya Kimataifa n.k. Wakazungumzia ushupavu wa Mwalimu Nyerere katika kuongoza Taifa ulioleta mafanikio hayo.

  Mmoja wa Wazee alijitambulisha kwamba yeye anatoka Kigoma na kwamba wakati huo wafanyabiashara wa Kigoma walikuwa wanakwenda nchini Burundi kuuza nguo kwa wingi kutoka kiwanda cha nguo cha Mwatex. Wakakumbushana viwanda vingine vya nguo kama kiwanda cha Urafiki na Mutex. Mzee mwingine akakumbushia jinsi ambavyo kiwanda cha nyama cha Tanganyika Packers kilivyokuwa kikisindika nyama za makopo zenye kiwango cha hali ya juu. Tergy plastics ilikuwa ikitengeneza vyombo na vifaa mbali mbali vya plastic imara. Kiwanda cha General Tyres kulitengeneza matairi bora ya magari yaliyokuwa na soko Afrika Mashariki nzima. All in all kulikuwa na viwanda vya kila kilichokuwa kikihitajika nchini wakati huo. Wakadai kwamba hata foleni inatokana na maamuzi mabovu ya kuruhusu Wananchi kununua magari bila kujali uwezo wa barabara zetu. Ilimradi Wazee wale waliendelea kuelezea 'historia' ya maendeleo ya kiuchumi ya wakati wao, wakaishia kusema lakini sasa .....?

  Tunahitaji uongozi ambao hautajikweza na kutaka kuleta mpya bali kuangalia kwa makini mazuri ya zamani na kuona ni namna gani tunaweza kuanza kujenga upya uchumi wa nchi yetu kwa kuanzisha viwanda vyetu wenyewe, kufufua soko la ndani, kuchukua hatua za makusudi kuhamasisha wananchi kutumia bidhaa za ndani ya nchi yao na kudhibiti bidhaa holela zinazotoka nje. Labda tunaweza tukatoka kwenye hiyo nafasi ya malofa wa kutupa duniani. It can be done!
   
 10. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Yours is outdated information. Check the link below, Tanzania ranks 152 out 182 countries in the World. Our GPP per capital is now USD 1,208.

  Source: http://hdr.undp.org/en/statistics/
   
 11. M

  Magezi JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  With CCM in power nothing will prevail. Hii nchi inaharibiwa na CCM kwa kudharau wataalamu na kuendekeza WB na IMF, hawa ndo wanaua uchumi wa nchi nyingi maskini.

  Cha msingi ni kwamba tujitahidi tufufue viwanda vyetu na kujenga vipya, bado hatuja chelewa.
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  GDP* Per capital
  Country ($)
  Sierra Leone 400 (Vita)
  Tanzania 523 ( Sheer Mismanagement?)
  Burundi 591( Small landlocked resourceless country)
  Malawi 615 ( Small landlocked resourceless country)
  Ethiopia 668 (war )
  Niger 746 ( Desert )
  Guinea-Bissau 755 ( Military Dicatorship)
  Dem. Rep. Congo 765 ( Civil War)
  Mali 797 (Desert)
  Congo 825 (Sheer Mismanagement )
   
 13. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Umeeleza vizuri sana mkuu. Ila bado hatujajua tatizo liko wapi? Tatizo kubwa ni ''mindset'' za Watanzania wote, wasomi na wasiosoma, viongozi na raia wake. Yaani utandawazi umeliangamiza kabisa taifa. Uko wapi utamaduni wetu?

  Mfano; wenye mashindano ya Miss Tanzania ya mwaka jana kauli mbiu ilikuwa ni kukuza utalii wa ndani! Cha ajabu hakuna kikundi chochote cha ngoma za kienyeji kilipewa nafasi ya kutoa burudani pale. Walijaa wasanii wa Bongo Flava. Hivi mtalii anahitaji kusikiliza ''hip hop'' ya Tanzania? Halafu eti kukawa na show ya Michael Jackson. Double standards everywhere, utalii wa ndani na show za Michael Jackson, nyimbo za hip hop wapi na wapi?

  Tujadili kiini cha tatizo! Tatizo liko kwenye fikra zetu! Tubadilike!
   
 14. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Pamoja na hiyo update unayotupa haibadilishi kitu - sisi ni maskini tu na sijui tunaweza nini - maana umaskini huu niuite wakurithi, wakujitakia au wa kulaaniwa?

  Mi nafikiri ni wajitakia kwa sababu ya uvivu wa kufikiria.
   
 15. M

  Magezi JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  CCM wanafikiri kuwa na wamachinga wengi ndo maendeleo
   
 16. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Tatizo liko wapi na nini kifanyike kondoa tatizo hili? Tafadhali sana usiniambie ni CCM. Tuachane na siasa, tutafute kiini cha tatizo!
   
 17. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MamboJambo,

  Ungefanya homework yako kwanza kabla ya kupost hii kitu!! Inaeleweka kuwa Tanzania ni maskini lakini si kwa kiwango hicho!!! Hizi data zako ni za per capita ya mwaka 2000!! Hebu nenda kwenye website ua UNDP tafuta the latest HDR uone si km unavyopotosha hapa....

  Kwa kukusaidia tu angalia hapa... http://hdr.undp.org/en/media/HDR_2009_EN_Complete.pdf
   
 18. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umaskini wa Tanzania ni matokeo ya Uongozi mmbovu na SIASA CHAFU!!!!!
   
 19. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama ulivyobaini tatizo liko kwenye fikra zetu. Lakini bila kuitumia siasa si rahisi kupata njia ya kuhamasishana ili kubadili fikra zetu. Labda tunaweza kusema wazazi majumbani na walimu mashuleni wawafundishe watoto wakingali wadogo juu ya uzalendo na jinsi ya kuipenda nchi yao, ili wakati utakapofika wa wao kuitumikia nchi yao waweze kuimba kwa maneno na vitendo wimbo wa "Tanzania Tanzania Nakupenda kwa Moyo Wote"!
   
 20. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  TAtizo la TZ wakiongeza mapato kwa kukusanya kodi za wamachinga wanaishia kuongeza mishahara na marupurupu ya kina Ndulu

  Taifa la wachuuzi haliwezi kusonga mbele hata kidogo
   
Loading...