Hatimaye JK atembelea Bugando hospital | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye JK atembelea Bugando hospital

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Think Global RC, Jan 21, 2010.

 1. Think Global RC

  Think Global RC Member

  #1
  Jan 21, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimetaarifiwa kuwa Muda si mrefu rais JK ataingia hospital ya bugando mwanza kuwaona majeruhi wa ukerewe na wale askari waliopata ajali shinyanga.
  Yeyote aliyekaribu na maeneo hayo atupe kinachoendelea please.
   
 2. O

  Omumura JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Lipo jipya lolote unalotegemea hapo?hana kipya zaidi ya kupigwa picha na Fred Maro wa ikulu!
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  nakujipigia kampeni
   
 4. A

  August JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Mimi nilifikiria anaenda kuona maendeleo/matatizo waliokuwa nayo na kuwaambia Wachimba Madini yetu wapeleke Vifaa Kule na Kujenga sema Wodi ya Watoto/Akina Mama , Taasisi ya Saratani , Kama wa Ambulance za Kutosha nk nk
   
 5. T

  The Patriot Member

  #5
  Jan 22, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni jambo la msingi sana. Asingeenda wangesema ah, anakaa ikulu watu wake wanaangamia!
   
Loading...