Naenda jimboni... Nitawamiss sana

Mbunge wa CCM

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
475
22
Katika kipindi cha wiki tatu nitafanya safari kadhaa katika nchi takriban nne hivi ikiwa ni katika kuweka sawa masuala yangu huku ughaibuni kwani februay nitarejea nyumbani ambapo pamoja na mambo mengine nitatangaza rasmi nia yangu ya kugombea ubunge jimboni kwangu.

Ntarajia kugombea ubunge kupitia jimbo la uchaguzi kwa tiketi ya ccm. kutokana na ukweli kwamba kura za maoni za ccm zitapigwa na wanchama wote, ni wazi kuwa kazi ya kuweka mambo sawa jimboni ni kubwa zaidi kuliko katika chaguzi zilizopita. Tayari timu yangu iko jimboni kwa wiki kadhaa sasa na ninalazimika kwenda huko mapema kuiongezea nguvu hasa ikizingatiwa kuwa baada ya march nitakuwa tena na safari nyingine za ng’ambo.

Kutokana na ratiba yangu kuwa ngumu katika kipindi hiki, ni wazi sitaweza kuwa na muda mwingi ndani ya JF halikadhalka nikiwa jimbon siaweza kupata connection ya uhakika ya internet na hivyo nitawamiss sana wapendwa.

Nawatakien kila la her na tuendelee kuombeana heri katika harakati mbalimbali tuanazofanya kwa manufaa yetu na nchi yetu

asanteni
 
I will miss you too,ila nimesikitika sana kwamba unagombea kupitia CCM,sina imani kabisa na chama hiki.Who is your opponent kwenye hilo jimbo unalotaka kugombea?are you sure utapita kweli kwenye kura za maoni?
Goodluck
 
Fungua jina lako tuanze kukupima, kukupa nasaha, uzoefu wetu na huenda baadhi yetu tunastahili kuwa campaign Managers wako au wapigadebe wako.
 
I will miss you too,ila nimesikitika sana kwamba unagombea kupitia CCM,sina imani kabisa na chama hiki.Who is your opponent kwenye hilo jimbo unalotaka kugombea?are you sure utapita kweli kwenye kura za maoni?
Goodluck

ccm sio mbaya, watu ndio wabaya na kama mtanzania kijana ninayekubalika jimboni na watu wa kada balimbali, naamini ninalo jukumu la kuchangia chachu ya mabadiliko ndani ya ccm na hatimaye itatimiza matarajio ya wanachi. kumbuka mkuu, mkono ukichafuka haukatwi bali hsafishwa! tutafika tu.

kuhusu ushindi, sina shaka hata idogo mkuu, nitapita tu. tuombe uzima
 
Kwanini unataka kugombea ubunge? Kutumikia wananchi? kwa huwezi kutumikia kwa njia nyingine? ....utaleta kipya gani ndani ya CCM?
 
haha labda na yeye ndo hobbie zake zake kutumikia jamii kwa njia ya ubunge mwache aende akajaribu
 
ccm sio mbaya, watu ndio wabaya na kama mtanzania kijana ninayekubalika jimboni na watu wa kada balimbali, naamini ninalo jukumu la kuchangia chachu ya mabadiliko ndani ya ccm na hatimaye itatimiza matarajio ya wanachi. kumbuka mkuu, mkono ukichafuka haukatwi bali hsafishwa! tutafika tu.

kuhusu ushindi, sina shaka hata idogo mkuu, nitapita tu. tuombe uzima

Tafadhali naomba unipe takwimu za vijana wangapi wa CCM waliopita kwenye kura za maoni kwenye chaguzi za nyuma.Hapa naamanisha vijana kwa mujibu wa katiba ya nchi na sera ya maendeleo ya vijana Tanzania.Je wewe na ujana wako utapita kweli?umemsikia mwenyewe Wasira amesema kwamba hawezi kuwaachia vijana jimbo lake kwani ni wavuta bangi,na sio Wasira peke yake mwenye mtazamo huu ndani ya ccm,wako wengi kina Makweta na............list ni ndefu
 
kumbe wewe ulijiunga MAALUM kwa ajili ya hilo tu....!lolz
idumu jamiiforums
 
Kwanini unataka kugombea ubunge? Kutumikia wananchi? kwa huwezi kutumikia kwa njia nyingine? ....utaleta kipya gani ndani ya CCM?

kuna mtu aliniambia anataka kugombea ubunge na nikamuuliza same questions!!!! ndugu mgombea kuna njia nyingi unaweza kuwasaidia wananchi kuleta maendeleo not necessarily uwe mmbunge but if you think that is the best way way you can do so....goodluck.

tunasubiri jina na jimbo!!!
 
kumbe wewe ulijiunga MAALUM kwa ajili ya hilo tu....!lolz
idumu jamiiforums
Geoff,
Tusimkatishe tamaa. Badala yake tuwaombe na wengine wajitokeze. Tuandae kautaratibu ka kukusanya michango ya kuwasaidia watakaojitokeza kugombea ambao ni Members wa JF. Tunaweza kufanya kama Mwanakijiji na TPN walivyofanya kwenye kuchangia maafa ya Kilosa. Bunge letu likipata wanaJF makini watano zaidi mabadiliko tutayaona.
 
kuna mtu aliniambia anataka kugombea ubunge na nikamuuliza same questions!!!! ndugu mgombea kuna njia nyingi unaweza kuwasaidia wananchi kuleta maendeleo not necessarily uwe mmbunge but if you think that is the best way way you can do so....goodluck.

tunasubiri jina na jimbo!!!

hey lets go home baby!
 
Unaenda kugombea CCM duuhh, yaani sina imani na CCM kabisa, ni wezi, mafisadi,. wachawi, waongo, hawajali wananchi wao, kwa CCM sisi watanzania woteeeeee hasa tulio masikini we are just numbers to them, hawatuthamini wala hawatujali, yaani inasikitisha sana.
Of course CCM ni sehemu ya kujitajirisha haraka na kuneemeka wewe na familia yako. Ulisikia michango iliyotolewa huko Bariadi kumtoa Cheyo jimboni kwake, wanachama wa CCM wana pesa nyingi sanaaaaa, sijui wanapata mishahara ngapi, na kama ni biashara je wanalipa kodi zoteeeee inavyotakiwa?? sidhani, na bill zao za luku, maji nk je wanazilipa zootee ipasavyo??, maana wana pesa nyingiiiiii ,mnooooooo za ziada. Mimi sijui wanapata vipi haya mapesa yote.

Anyway nenda na wewe mwaka 2011 utakuwa mtu mwingine, watoto wako watakuwa chekechea South Africa haluuuuu. Mafanikio mema.
 
On another note.....huyu jamaa si mwadilifu kivile, ni mchafuzi wa mazingira huyu.....natafuta ushahidi hapa.....kuna thread wakati anachangia alikiri mwenyewe kuwa yeye.....ana uzoefu wa kuvibikiri vibinti, na alikiri kuwa mpaka siku ile anachangia alishavibikiri vibinti vitano.....???

Huyu akipata ubunge, watoto wetu Msalato atawamaliza......hii si tabia njema kabisa kwa kiongozi....very serious here!....!subiri ushahidi! Will be back!
 
Back
Top Bottom