Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni wakati sahihi kwetu watanzania kujichagulia wenyewe chaguo la Mungu na si kuchaguliwa na wachache. Tumepata fundisho kuwa aliyedhaniwa kuwa chaguo la Mungu 2005 kumbe hakuwa. Si chaguo la Mungu...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
uongozi wa juu wa CWT Sophia Simba-Mwenyekiti Asha Bakari- Makamu Mwenyekiti Husna-Katibu ambaye mama Simba Hamtaki wajumbe wa kamati kuu ya Jumuia ya wanawake wa CCM Shamsa Mwangunga Hawa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Sielewi kwanini wanaharakati wanataka kuandamana kulilalamikia Bunge kuhusu suala la Richmond. Hadi hivi sasa Bunge na wabunge wamefanya kazi yao vizuri na kwa umahiri mkubwa. Wameenda hadi pale...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa muda wa CCJ, Richard Kiyabo??? Who is he? what do we know about him? mwenye CV yake atuhabarishe Mwenyekiti wa Muda wa CCJ Richard Kiyabo (Kulia) akiwa na Katibu wake Renatus Mwabihi
0 Reactions
10 Replies
4K Views
0 Reactions
4 Replies
2K Views
somewhere in Tanzania; president of the republic somewhere in Tanzania; President of the Republic.. what is wrong? one of them is seen to be out of touch with his people, some have even...
1 Reactions
109 Replies
11K Views
The Zanzibari government and investors in the tourism industry are pointing accusing fingers at one another with each blaming the other for making Zanzibar International Airport (Zia) one of the...
0 Reactions
40 Replies
12K Views
Nimechukua muda wa kama Saa zima kutemebelea tovuti ya bunge la Tanzania, yaani http://www.parliament.go.tz na kuangalia Cv za wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Nimegundua kuwa wengi wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SIKU chache baada ya kampuni ya Synovate kutoa matokeo ya utafiti wao, wasomi nchini wameufananisha utafiti huo na chati za muziki wa kizazi kipya (Bongo Flava) huku wakiwaonya Watanzania kuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Na Nkwazi Mhango RAIS Jakaya Kikwete aliishajijengea utamaduni wa kutojibu shutuma dhidi yake. Kazi hiyo aliikabidhi kwa wapambe wake, Yusuph Makamba, Kingunge Ngombale -Mwiru, George...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
CCM yaiga CHADEMA • Yawaengua Rostam, Aboud, Somaiya kamati ya ushindi na Martin Malera CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinajipanga kukusanya sh bilioni 40 za kampeni za uchaguzi mkuu kwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Tumechoshwa na hadidu rejea Kiti cha Ubunge Jimbo la Ubungo kinanadiwa na CCM kana kwamba Ubungo haina wenyewe,Alikuja Lamwai(NCCR kwa malumbano m,azito maendeleo...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
....badala ya kujifanya ni Wapinzani kumbe ni Mamluki!? Cheyo na Mrema wakati umefika sasa wa kurudi CCM na kuacha usanii wenu wa kujifanya nanyi pia ni Wapinzani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa nini wana nchi wa majimbo yaliyo nje na miji ndio wamekuwa wepesi kuwachagua wabunge wa upinzani wakati sisi wa darisalama au tulipo tunaojiita wasomi wengi na miji mingine kama arusha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mh. Kikwete, Wakati unagombea Urais kupitia ndani ya Chama Chako n hata kwa Taifa zima, ulijiuza kama muumini mkamilifu wa TANU na CCM pamoja na Itikadi zake na kuwa wewe ni muumini na mtifu kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameshtushwa na swali lililomtaka kutoa maelezo ya kwa nini Serikali inahofu kukubaliana na uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania iliyobariki mgombea binafsi. Swali hilo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau, Naomba msaada wa kupata 'soft copy' ya 'Elections Expenses Act of 2009' iliyopitishwa hivi karibuni na Bunge. Nimejaribu tovuti ya bunge lakini nimeambulia patupu. wasalaam.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Je ni vipi tunaweza kuwashauri wale Wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu Mwaka 2010? Watumie Mbinu na Mikakati gani? Wale wenye maoni ya kujenga tunaweza kuyatoa hapa . ...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Godfrey Mwakikagile plagiarized Mozambican author By Fernando Veloso Maputo (Canalmoz) – Tanzanian writer Godfrey Mwakikagile, author of a biography of Tanzania's first president...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
Mwandishi Wetu Februari 24, 2010 Ni Clare Short aliyeshupalia Tanzania kutoinunua NYOTA ya Waziri wa zamani wa Uingereza wa ushirikiano wa kimaendeleo, Clare Short, aliyekuwa mstari wa mbele...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…