Ubunge Vs Elimu

pcman

JF-Expert Member
Oct 9, 2008
742
186
Nimechukua muda wa kama Saa zima kutemebelea tovuti ya bunge la Tanzania, yaani http://www.parliament.go.tz na kuangalia Cv za wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Nimegundua kuwa wengi wa wabunge hawana hata digrii.

Je kwa utendaji wa bunge letu wa sasa, kuna uhusiano wowote na nililoliona?.
 
Watanzania wangapi wana hizo degree? Bunge ni kioo cha jamii...so i wld think its a fair representation!!
 
Mtoto nafikiri ni busara kwa asiye na elimu kuongozwa na mwenye elimu.
 
Back
Top Bottom