Wajanja ni sisi wa mjini au wao wa vijijini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajanja ni sisi wa mjini au wao wa vijijini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Feb 25, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,971
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 0


  Kwa nini wana nchi wa majimbo yaliyo nje na miji ndio wamekuwa wepesi kuwachagua wabunge wa upinzani wakati sisi wa darisalama au tulipo tunaojiita wasomi wengi na miji mingine kama arusha mwanza,Mbeya mjini haina wabunge wa upinzani.

  Ukiondoa jimbo la Moshi mjini na Bukoba mjini kipindi fulani na temeke enzi za mrema sijui ni ni jimbo gani limewai kuonyesha wakazi wa mujini tunahitaji mabadiliko.

  -tuko busy kiasi tunshinwa kupiga kura za kuleta mabadliko?
  - Tumekubali ule msemo wa zimwi likujualo
  -Tumeridhika na mambo yalivyo ?
  - kwa kuwa tunakula tunakunywa we have nothing to loose ?

  Pendekezo
  Kuliko kuchagua Mbunge mbovu wa CCM bora tuchahge mbunge mbovu wa upinzani litakuwa fundisho.
   
 2. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 531
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  jamaa ni wapinzani wa njaa yao wala sio ccm
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,971
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 0
  Kwa mtazamo wako bora tuendelee na style ya zimwi likujualo?

  Nidhamu ya woga na kuogopa ku take risk ni baadhi ya sababu za msingi zinazotufanya tuwe hapa tulipo. Kuogopa kutake risk ni riks by itself.

  Ni vema watu tujitahidi kuweka wabunge wengi wa upinzani acha wa CCM iwe na rais Daima.
   
 4. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,935
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sio lazima umchague mpinzani hata kama hana sifa kwa vile ni mpinzani.Tunaangalia sifa ya mtu na uwezo alio nao kama yupo CCM,CCJ au mgombea mbinafsi yote haijalishi.Ishu hapa ni je ATATUFAA?
   
 5. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 531
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  inabidi lipumba aingie bungeni being underdog is not a deal
   
 6. tgeofrey

  tgeofrey JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 531
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  maskini point yako nzuri ila kakura cha kamoja tuu
   
 7. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,935
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sore to bother.wat do you mean ,hapo kwenye red?
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 54,214
  Likes Received: 31,317
  Trophy Points: 280
  .............:eek::eek:
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,971
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 0
  Ni kweli lakini Hoja kwa nn Majimbo ya mjini yamekuwa hayana wabunge wa upinzani. Sidhani kam ni kweli wagombea wote waichaguliwa majimbo ya mjini wa CCMwanafaa zaidi ya wale walioshindwa. Kuna issue ya wapiga kura hapa tunaongea sana siku ya kupiga kura tunaona usumbufu kwenda kusimama masaa mawili eti kumpa mtu mlo.

  Suala lingine ukiwa na wabunge 400 wanaofaa wa CCM ni sawa na 2-2 =0. Bora uwe na 200 wa CCM wanofaa na 200 wasiofaa wa vyama vingine . Kuna kitu watachangia hawa. CCM imeshalemaa
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...