Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Pasco na MMKJ nafurahi kuona mnavyojitahidi kuwafanya watu waone Ccj ni mkombozi, ni kama vile namona Pasco alivyokaa akisubiria hilo tamko. Jamani tumeona na kusikia matamko mangapi we need...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wandugu hii picha na tangazo (la kampuni fulani ya nchi fulani ya ughaibuni) inatumika ku-promote utalii TZ. Hebu soma text kwenye hiyo picha. Inaonekana mpangilio mbovu wa mji wa Dar es salaam...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Raisi wangi muongo, mwingi wa ahadi zisizotekelezeka. Alipoingia madarakani alianza kwa kulihutubia bunge, hotuba, kali iliyojaa msisimko. Tukajua tumepata raisi anayekuja na kulikomboa taifa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
JK alisema kuwa takrima haikwepeki ingawaje sheria ya uchaguzi inakataza na mahakama ilikwisha amua kuwa ni rushwa. Sasa kuanzia leo yuko huko Kilimanjaro, tutarajie vituko vingine huko na utani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi; Ana lia, ana lalamika, ana nung'unika, ana huzunishwa, ana chukizwa, ana tahayari, ana sikitika, ana ghafilika, ana kata tamaa au kwa kifupi hajielewi? Yaani miaka yote hii ya majaribio na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi na yamenisumbua sana, Mh Membe na Rais Kikwete ni ndugu? maana wanafanana sana, Hata nyie angalieni hizi picha.
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Hotuba nyingi za JK hasa zile za kutoa ahadi ni kama vile za kutabiri, kama ahadi aliyowaachia Wachagga ya kuendesha mafunzo ya shule kwa kutumia teleconferencing kufikia 2015 ni kama utabiri...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Election thieves face jail in The Hague - Ocampo Daily Monitor May 28 2010 Kampala The International Criminal Court will prosecute politicians who rig elections and those who use...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
The Board of Directors of TANESCO has appointed Mr William Geoffrey Mhando to be the Managing Director of the state-owned power utility firm. A statement issued by Tanesco in Dar es Salaam said...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Just came across this. Nimeipenda kweli maana inanipa updated weekly activity za rais. Ivi bongo tunashindwa kitu kama hichi na watu wote wa IT? Procedure ni vipi kama ningependa kufanya kitu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Daniel Mjema, Moshi KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, watendaji watano wa serikali mkoani Kilimanjaro, jana hawakutokea kwenye ziara ya Rais Jakaya Kikwete na kusababisha maswali yanayohusu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Watanzania wote mnaokaa Uingereza,Marekani,Canada,Australia na New Zealand....Jipatie Kitabu Maalum na CD kuhusu Utengenezaji wa mali na fedha bile kulipia chochote.Kitabu hiki na CD kitatumwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama cha Jamii ambacho kimenuiwa kunyimwa usajili wa kudumu na Serikali inayodaiwa kuwa ni ya kidemokrasia ya Rais Jakaya Kikwete leo kimetoa majibu yasiyo na utata ya kwanini uamuzi huo ambao...
0 Reactions
127 Replies
11K Views
Hi wanaJF Kuna uvumi ambao unaenea kwenye jamii kuwa "CCM ni wezi wa kura na hata watu wapigie kura vyama vingine lakini mara nyingi CCM hufanya kila namna anatangazwa mgombea wao kuwa mshindi"...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Wakuu kwanza niombe radhi kwa kutokuwa hewani kwa muda kidogo.Nisingependa nitoe sababu za kutokuwa kwangu hewani. Kwa sasa niko likizo mkoani Tanga.Nikiwa huku Tanga nimepata bahati ya kuhudhuria...
0 Reactions
93 Replies
11K Views
Saudia Arabia wametamka wazi kwamba viwanda vyao vingi vinakosa malighafi kutokana na kukosa ardhi kwa ajili ya kilimo. Strategy yao ni kuja Tanzania kumilikishwa ardhi walime wasafirishe kwao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hotuba aliyoitoa Rais Kikwete wakati akizungumza na wazee wa CCM Dar Es Salaam alisema hajali kama Wafananyakazi Zaidi ya 300,000 wa Serikali wakimnyima Kura, hata wasipompigia kura...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
ASEMA WAKATI WAKE RUSHWA HAIKUWEPO Hadija Jumanne Ali Hassan Mwinyi RAIS mstaafu wa awamu ya pili, mzee Ali Hassani Mwinyi, maarufu kama Mzee Ruksa ameshangaa kukithiri kwa rushwa katika...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Huu ni wakati mwingine wa kutafakari umuhimu wa uongozi bora na viongozi wenye ubora unaotakiwa kutupeleka mbele. Hiki ni kipindi kingine cha kujiuliza maswali mengi kuhusu mustakabali wa Taifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kuuliza ni hatua gani inapaswa kuchukuliwa kwa mtanzania anayesumbua na kuingilia uandikishaji wa kupiga kura?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…