Hii kali ya ccm!

Hii kali ya ccm!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,913
Mmesikia bajeti ya miundo mbinu?wanadaiwa bil 323 bila riba Na wakandarasi wao wameomba hazina bil 370 swali watalipa madeni au watajenga miundo mbinu mipya kwa fedha zipi mwaka ujao?kwa kweli CCM IMECHOKA JAMANI TUNAHITAJI MABADILIKO!
 
Mkuu Bongolala,

Source please!!!! Tumesikia wapi wengine hatujasikia tupe habari kamili, hii haijitoshelezi!!!

Tiba
 
Hapo inalaumiwa CCM au serikali? Au CCM na serikali ni kitu kimoja?
 
Serikali ya chama cha mapinduzi

au tuseme;

Chama cha ccm kilichopewa ridhaa na watanzania kuunda serikali
 
Back
Top Bottom