Ni wizi huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wizi huu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by cc_africa, Jun 1, 2010.

 1. c

  cc_africa Senior Member

  #1
  Jun 1, 2010
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hali zenu wakuu.

  Kuna baadhi ya watu wamejitolea kuja kutuletea kadi za vijana za CCM kwa ajili ya kumchagua mbunge wa jimbo letu.

  Tatizo ni kwamba, wakati wa kutuandikisha, wamechukua ID number ya kadi ya kupigia kura pamoja na jina na mwaka nk.

  Je kwanini wachukue ID number? Na inahusu nini?
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Hiyo hairuhusiwi. Ndizo mbinu zao wanazotumia kuiba kura. We utapewaje kadi kama siyo mwanachama? Au kuna kingine zaidi ulichopewa hutaki kutuambia?
   
 3. c

  cc_africa Senior Member

  #3
  Jun 2, 2010
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wametoa kadi ya CCM ya vijana.tatizo ni kwmba, id number ya kadi ya kupigia kura yanini? Niliamua kufika ofisi za umoja wa vijana CCM,na wamesema haina umuhimu. Je nini lengo lao haswa kuchukua id number? Hebu nisaidieni pengine muna ufahamu zaidi wa kujua lengo lao haswa ni nini?
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  Jun 3, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Jina lako kama huko CCM siku ya kupiga kura litakuwa halipo!
   
 5. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wewe una akili kweli wewe CC-AFRICa?! yaani mtu mzima na akili zako unapewa kadi kijinga jinga unapokea? au wamekupa kidogo hutaki kutuambia...Unajua watu kama nyie ndo mnatakiwa mnachapwa viboko kumi na mbili ******* ndani halafu mkitoka vingine kumi na mbili mkawaonyeshe ndugu zenu
   
Loading...