(Tahadhari)..Lini mauaji ya kinyama yataisha Mkoa wa Mara? selikali imeshindwa?

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Jul 28, 2008
2,502
739
Picha hizi zinaangaliwa na watu dunia nzima pia zinatisha kama una roho ndogo usiangalie.......hivi ni lini mauaji ya kulipizana visasi mkoa wa Mara yataisha, hivi selikali imeshindwa kabisa kutafuta suluhisho la mgogoro huu kwenye nchi wanaoiita kisiwa cha amani?..selikali yenye responsibility ya kulinda wananchi wake imefanya kazi gani hapa?...je, tufanyaje ili kuilazimu selikali kuwajibika kwa hili..nani tumwajibishe kwa kushindwa kazi? au tuishitaki selikali yenyewe...jamani jamani hii ni tz ati....



 
Last edited by a moderator:
sipendi kuangalia hizi picha jamani, sipendi...kwanini umeziweka hapa bwana ubungoubungo?..sijui hali hii itaisha lini..loooo
 
nadhani ni wakati wa kuangalia upya mfumo wa ulinzi na usalama na vilevile matukio kama haya inawezekana pia yanatokana na umasikini kwani taifa limeacha rasilimali ikichukuliwa na mzungu na wananchi wakichinjana kwa sababu ya wizi mdogo mdogo wa ngombe na sababu zisizo na msingi .Imefika wakati lazima wananchi wa maeneo haya wajiunge na kulazimisha kupata gawio kubwa toka katika rasilimali kama MGODI WA NYAMONGO na napenda niweke wazi nitaunga mkono kitendo cha wao kudai kiasi fulani kutoka kwenye mgodi huu na rasilimali zao kwani nadhani ndio litakuwa ni suruhisho la matatizo madogo madogo, kwa yeyote yule atayetaka wananchi wa MARA wawe na amani basi nadhani ni vyema kuunga mkono juhudi za wao kunufaika kutoka kwenye mgodi na rasilimali , na lazima halmashauri za mkoa huu zisomeshe vijanawake kutoka katika rasilimali hili kuleta madiliko na kupunguza wananchi kutegemea mifuko pekee.
NASIKITISHWA NA KITENDO CHA MKOA WA MARA KUWA KATIKA MAPIGANO YA WENYEWE KWA WENYEWE NA NADDHANI NI SABABU YA UMASIKINI UNAOSABABISHWA NA KUTOPEWA HUDUMA STAHIKI KUTOKA KWENYE RASILIMALI ZA MAENEO YAO
 
Back
Top Bottom