Elections 2010 Hela za Uchaguzi za CCM ndo viingilio vya Brazil?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
WanaJF

Hakuna chanzo kinachosema Brazil Kama wenyewe wanataka shilling ngapi. 7 billion wanazosema ni za TFF na serikali ndo wanasema. Kuna habari kwamba mechi kati ya brazil na Tanzania ni kati ya chanzo cha sisimu katika kampeni zake za uchaguzi 2010.

See the difference:

Zimbabwe used $1.8bill Tanzania $7 or $6 billions sometimes they say $3billion
Lower entrance in Zimbabwe is $10 TAnzania Tshs 30,000
Highest entrance in Zimbabwe is $60 Tanzania TShs 200,000


Kweli kwa Mtaji huu watanzania tuichangie CCM oct 2010 wafanye tena madudu
 
Spot on! Nadhani source nyingine ni petrol/diesel, bidhaa hii nchi zote majirani zetu iko chini wakati hapa ni juu. Kwa nini?????????????
 
Uko right kabisa ndugu yangu!

CCM wanatukamua kupitia viingilio vya mpira alafu tukawachague. Hivi sisi tuna akili kweli au tutakuwa vichwa vya wendawazimu?
 
I noted it long time ago!!! I waited for them (Brazil) anxiously but I quit.

The cost of the game is very secretive....why? Neither Ministry nor TFF put on public the cost.

SIDANGANYIKI NG'OOO!!!
 
Back
Top Bottom