Wazanzibari mtaonewa mpaka liini amkeni???

Wazanzibari mtaonewa mpaka liini amkeni???

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,657
Reaction score
37,821
Jamani nimeguswa na swala lililomtokea ndugu yetu Masauni simjui hakika; ila nimeangalia nikaona kuna umhimu wa wa zanzibar kuamka na kuacha kuwa wanyonge kila siku..embu jiulizeni kughushi shule na mwaka lipi kosa?

Wabunge wamegushi degree tena na mawaziri wapo serikalini na bado wakakomaa kuongelea wala kukiri.

Masauni acha uzanzibar wa kutishiwa kidogo na nyau wale mafisadi pamoja na kuwa na evidence mbona hawa takataka wako bungeni?

Semeni basi! Inatisha; si mmesikia Hedaru uko wamechoka?
 
umenena mkuu....ni ukweli mtupu
 
huu upuzi mtupu atakaama wana vielelezo kuna vielelezo vingi vya degree feki we umekaa bara siku nyingi unakuwa kama vipi unakubali ???wabunge ushaona aliesimama kwenda polisi kushtaki waliwasema si wameihsia kukaa kimya aibuuu...siku nyingine usikurupuke ndugu yangu masauni
 
watu wamechoma kituo cha polisi na magari yaliosiubiri kesi zao na polisi kuacha silaha kula kona huu nimwanzo tu
 
jamani kuonewa au kutoonewa ni mtazamo tuu, swala la msingi wao wanaonaje kuhusu swala hilo
 
Jamani nimeguswa na swala lililomtokea ndugu yetu Masauni simjui hakika; ila nimeangalia nikaona kuna umhimu wa wa zanzibar kuamka na kuacha kuwa wanyonge kila siku..embu jiulizeni kughushi shule na mwaka lipi kosa?

Wabunge wamegushi degree tena na mawaziri wapo serikalini na bado wakakomaa kuongelea wala kukiri.

Masauni acha uzanzibar wa kutishiwa kidogo na nyau wale mafisadi pamoja na kuwa na evidence mbona hawa takataka wako bungeni?

Semeni basi! Inatisha; si mmesikia Hedaru uko wamechoka?

Pdidy mimi sikuelewi kabisa! Unauliza kuwa Masauni kughushi shule na mwaka lipi kosa, kisha unadai kwamba Wabunge wameghushi degree na bado wamekomaa hawataki kukiri! Sasa unataka wakiri nini wakati kwa upande wako "kughushi" sio kosa? Na huyo Masauni anapodanganya umri tutamwaminije kama hatatudanganya kwenye mambo mengine? Au kwa sababu ya Uzanzibari wake kwa hiyo aachwe afanye atakayo?
 
huu upuzi mtupu atakaama wana vielelezo kuna vielelezo vingi vya degree feki we umekaa bara siku nyingi unakuwa kama vipi unakubali ???wabunge ushaona aliesimama kwenda polisi kushtaki waliwasema si wameihsia kukaa kimya aibuuu...siku nyingine usikurupuke ndugu yangu masauni

Acha hisia ndugu, kama una vielelezo vya hizo digrii feki, badala ya kukaa navyo! Hata hivyo digrii feki hizo, kama zipo, haziwezi kuhalalisha uhalifu mwingine wowote! Wewe fikiri, dada yako au mama yako amebakwa (ni mfano tu), utakubali wahalifu waachiwe simply kwa sababu bado kuna wahalifu kama hao bado hawajafikishwa mahakamani? Mfano mwingine, fikiria kwamba umeibiwa kila kitu nyumbani kwako, utasema wasichukuliwe hatua kwa sababu kuna majambazi mengine yanajulikana kwa Polisi na hayakamatwi? Tumia akili uliyonayo kujenga ndugu na si kubomoa!
 
Mmhhhh, ndugu yangu

naogopa sana kuchanganya madhaifu ya mtu mmoja na maslahi ya Taifa zima, sikuona uzanzibar wa uzazi wa bara.

No comment so far
 
Tatizo ni mgando wa bongoli zetu subiri October watu washakaa mkao wa kanga na vitenge, ila naona this time around dau litaongezeka
 
Hao wazanzibari achana nao walilala zamani ukitaka kuwaamsha leo utalala wewe.Huyo mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ndani ya muungano waziri asiyekuwa na wizara maalum hata kama wanawaonea haikuanza leo wamezoea na wameridhika hata kwenye masuala ya utaifa wao wanatofautiana mwisho wa yote wanahitimisha cuf yule au ccm mbona hilo dogo yule rais aliyeko kigamboni umesahau si wazanzibari haohao walishangilia. wahaeshimiwa majaji walipotangaza zanzibar sio nchi kwa mujibu wa sheria ule mzuka si ulizimwa na hotuba ya kisiasa ya jk wamelidhika ni nchi ya kwenye majukwaa haiwasumbui lala ndugu yangu wacha wacheze ngoma yao wenyewe.
 
Back
Top Bottom