Elections 2010 Matangazo ya CCM RADIONI YANA BORE!!!!!

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Friends,
Sio siri,matangazo ya biashara ya CCM radioni yana ni bore sanaaaaaaaaaaaaaaaa
 
ahahaaaaaaaaaaaaaa, jamaa bado wanajitangaza???? hii ajabu sasa, hata wenye dola wanajitangaza je wasingekuwa na dola ingekuaje, asante Mungu, naona machozi ya wenye taabu katika nchi yao yameanza kuzaa matunda-----ccm lazima watambue kuwa Tanzania sio mali yao, wenye nayo ni Watanzania tu, wao watapita njia kama wengine walivopita kwenye nchi zao----vilikuepo KANU, LABOUR, MCP, viko wapi sasa, so ccm wajue kuwa nao kuna siku tutakizika tu wapende wasipende, no body stays on top forever even an empire collapses, there's no eternity on earth, ndio maana tunambiwa Adamu naye alikufa though ndiye mtu wa kwanza kuumbwa na Mungu wetu wa mbinguni
 
Yanakinaisha? How? Kwani umelazimishwa kuyasikia? Nyie ni kuku tu dua zenu zitabakia kuwa dua tu!!!
 
clouds fm wananiboa kupita kiasi...........wamenunuliwa kuwavuruga watz kwenye uchaguzi anyway tunajua wanalipwa hela ntingi kiasi kwamba waganga njaa kama akina kibonde na wenzie hawawezi kuziacha lakini watusaidie watz kutotuchagulia chama.....kwa nini ccm na mitangazo yao kiasi hiki............akina kibonde wazazi wao tunawajua wapo kule kule vijijini na uchaguzi ukifika tunajua wataneemeka kofia pamoja na uzee wao lakini kazahau kina mama palepale kijijini kwake waMEFARIKI DUNIA KWA KUKOSA AMBULANCE ZA KUWAWAHISHA ZAHANATI NA MACHOZI BADO HAYAJAKAUKA WAKATI HUO WANAZIDI KUNGOJE MAISHA BORA KWA KILA MTZ...................
TRUSAIDIANE KUJENGA NCHI KWA AMANI NA WALA TUSIVURUGANE....
Friends,
Sio siri,matangazo ya biashara ya CCM radioni yana ni bore sanaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kweli kabisa ila nakushauri uamini kuwa kuna kupanda na kushuka.............wasiposikiliza utamtangazia nani au we ***** nawe umenunuliwa??????????
Changia kujenga tz na sio kuvuruga tz yatakufuata haya unayoyatetea................
Yanakinaisha? How? Kwani umelazimishwa kuyasikia? Nyie ni kuku tu dua zenu zitabakia kuwa dua tu!!!
 
Dua la kuku halimpati mwewe, tapikeni basi halafu mpate kazi ya kuzoa. Hamtaishinda CCM kwa nyie wachache kuichukia bali kwa kuwaelemisha wananchi wengi waichukie.

Unajua wananchi tukijua mna chuki mno hatuwezi kuwapa madaraka. Jengeni hoja zenye nguvu badala ya machuki. Angalieni msije mkachukia mpaka mkaanguka kwa BP na bado kipigo mkakipata hiyo Oktoba.
 
Dua la kuku halimpati mwewe, tapikeni basi halafu mpate kazi ya kuzoa. Hamtaishinda CCM kwa nyie wachache kuichukia bali kwa kuwaelemisha wananchi wengi waichukie.

Unajua wananchi tukijua mna chuki mno hatuwezi kuwapa madaraka. Jengeni hoja zenye nguvu badala ya machuki. Angalieni msije mkachukia mpaka mkaanguka kwa BP na bado kipigo mkakipata hiyo Oktoba.
We unasems hsyo coz uns interest zako,ila swali la msingi ni kwamba muda wote CCM walikuwa wapi hadi wasubiri kipindi karibu na uchaguzi ndo waanze kuji advertise????wanamtangazia nan kama wanajua wanakubalika (kama wanavyojisifiaga) kimsingi matangazo ya CCM Redion ni upuuzi mtupu,CCM ni chama dola..serikali ni yake how come ianze kujitangaza!!!!hivi wewe unaweza ukaanza kujitangaza nyumbani kwako ilhal we ndo baba???huku ni kufilisika ki fikra na mawazo na kuhadaa wananchi.
hatutachoka kuwaamsha wa TZ walio lala kusimama against CCM.
INFACT SIIPENDI CCM NA SINA SABABU ZA KUIPENDA KWA SABABU HAIPENDEKI.
 
Tunawajua nyie mko wengi na mnasubiri kurithishwa na baba zenu basi ,hakuna lolote.mtaanguka tu hata kama sio leo mafisadi wakubwa nyie.I HATE CCM I HATE I MEAN IT!!!!!!!mmewapoteza watz wengi sana kwa njaa zenu!!!
 
kuna matangazo mawili hivi redioni na tv
nikisikia tu linaanza nabadili stesheni
kwanini niharibu siku yangu kwa kuboreka??
1.tangazo la yule m-baba wa zain dk 1 anatembea km ana tege ivi(jina limetoka)
2.ccm
 
Hamasisheni wananchi wasiichague CCM lakini kuchukia matangazo haisadii kitu
 
Akili ya kuambiwa............................................................


Nadhanu na wewe unakapenda kale ka nyimbo ka Hussein ka kamsifia nanihii wanchi eti katekeleza sera za Bora maisha kwa mtanzania.!
Usisahau kale kamseMOo WENGI WAPE..!
 
Back
Top Bottom