Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hotuba aliyoitoa Rais Kikwete wakati akizungumza na wazee wa CCM Dar Es Salaam alisema hajali kama Wafananyakazi Zaidi ya 300,000 wa Serikali wakimnyima Kura, hata wasipompigia kura...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
ASEMA WAKATI WAKE RUSHWA HAIKUWEPO Hadija Jumanne Ali Hassan Mwinyi RAIS mstaafu wa awamu ya pili, mzee Ali Hassani Mwinyi, maarufu kama Mzee Ruksa ameshangaa kukithiri kwa rushwa katika...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Huu ni wakati mwingine wa kutafakari umuhimu wa uongozi bora na viongozi wenye ubora unaotakiwa kutupeleka mbele. Hiki ni kipindi kingine cha kujiuliza maswali mengi kuhusu mustakabali wa Taifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kuuliza ni hatua gani inapaswa kuchukuliwa kwa mtanzania anayesumbua na kuingilia uandikishaji wa kupiga kura?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simaanishi kluwa kila mtu ni mfuasi wa CCM humu. lakini naomba kila mtu ajisikie huru kujibu. Assume wewe ni Mjumbe wa NEC na majina mawili yameletwa kupigiwa kura kumpata mgombe uraisi kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mnaojua kifarasa hebu tusaidieni, humo ndani nimesikia wanajeshi wanalonga kiswahili, kifaransa sielewi lakini nafikiri kuna jeshi letu hapo. Hebu angalieni hadi mwisho. Kama ni jeshi letu lipo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakati uandikishaji wa wapiga kura nchini umemaliza katika sehemu zote mbili za nchi yetu yaani Bara na visiwani kuna kitu ambacho bado sijapata ufumbuzi wake.Kwa kawaida katika uandikishaji wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo asubuhi 17 may 2010 nilitoka nyumbani kwangu kariakoo saa 12.10 kuelekea tabata Segerea kumpeleka mtoto wangu shule ya Tusiime iliyoko Sanene Segerea mara baada ya kuchwa na gari la shule...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni wiki ya pili sasa Mh.Shelukindo yuko jimboni Bumbuli akizungukia jimboni na kuongea na wananchi kuhusu utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi n kukagua maendeleo katika maeneo. Mh...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwimbaji maarufu, Abdalah Issa, ametoa kibao kipya kinachoonyesha kwamba kwa sasa CUF na CCM wameamua kikweli kushirikiana maana huyu wakati wote huwa anaimba muziki wa kuisifia CUF. Anampongeza...
0 Reactions
60 Replies
11K Views
THE National Executive Committee of the Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) has proposed Ms Amina Nassoro Makilagi for the vacant post of General Secretary of the party’s Women wing (UWT). The...
0 Reactions
88 Replies
10K Views
What did the PCCB Act target? THE dust is beginning to settle since the bilateral discussion between editors and other media stakeholders on one hand, and the director of the Prevention and...
0 Reactions
280 Replies
79K Views
Mheshimiwa Waziri mkuu wa Tanzania Bw Mizingo Pinda alitamka hayo alipokua akijibu maswali ya viongozi wa jumuia mbalimbali za Watanzania waishio Uingereza. Mkutano huo ulifanyika katika ofisi za...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Kuna viongozi ambao kwa kweli kwa kuwaangalia angalau unaona wanaweza kuibadilisha nchi kama tu watakuwa na ujasiri wa kujitoa kwenye CCM, Kama alivyosema Rais Nyerere, Upinzani Halisi utatoka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Taarifa Kuwa mujibu wa Clouds FM (Jahazi) leo 25.05.2010: Kuna mwandikishaji wapiga kura katika eneo la Baruti shule ya msingi Kimara Baruti - Dar es salaam amekamatwa na anashikiliwa na polisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Pamela Chilongola, Mwananchi UONGOZI wa Mkoa wa Dar es Salaam juzi ulitengeneza barabara ya Kagera hadi Madoto iliyoko maeneo ya Mburahati usiku, kwa ajili ya ziara ya rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
tangu kijana mpambanaji kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutangaza nia ya kumng'oa mwanasiasa mzee bw samwel malecela. hali ya mzee huyo imezidi kuwa mbaya kisiasa kiasi cha hivi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sitaki kusahau issue ya muhimu eti kisa Liyumba kaenda jela miaka miwili,hukumu gani hii inayohamasisha wizi wa mali za umma yaani ni nani ataogopa kuiba zaidi ya bilioni 200 kwa kwenda jela miaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo mahakama kuu ya kenya imetoa hukuma inayozipiga marufuku mahakama za kadhi huko kenya...katika kusoma wa kina nimevutiwa sana na maelezo ya chanzo cha kuwapo mahakama za kadhi .... Inaelezwa...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
RAIS mstaafu wa awamu ya pili, mzee Ali Hassani Mwinyi, maarufu kama Mzee Ruksa amesema kuwa hakuikandia serikali ya awamu ya nne wala kuihusisha na kukithiri kwa rushwa kwa kuwa rushwa ilianza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom