Halisi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2007
- 2,802
- 617
Mwimbaji maarufu, Abdalah Issa, ametoa kibao kipya kinachoonyesha kwamba kwa sasa CUF na CCM wameamua kikweli kushirikiana maana huyu wakati wote huwa anaimba muziki wa kuisifia CUF.
Anampongeza Rais Amani Abeid Karume, na Maalimu Seif Shariff Hamad, akisema Wazanzibari wameshapatana kuvinusuru visiwa vya Unguja na Pemba
Anampongeza Rais Amani Abeid Karume, na Maalimu Seif Shariff Hamad, akisema Wazanzibari wameshapatana kuvinusuru visiwa vya Unguja na Pemba