Hivi hili ndo jeshi letu ama vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hili ndo jeshi letu ama vipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MkamaP, May 25, 2010.

 1. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Mnaojua kifarasa hebu tusaidieni, humo ndani nimesikia wanajeshi wanalonga kiswahili, kifaransa sielewi lakini nafikiri kuna jeshi letu hapo. Hebu angalieni hadi mwisho.

  Kama ni jeshi letu lipo hapo, basi nashauri jeshi livunjwe na wote wawe polisi.

  Kung'uta link hii hapa chini

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Hawa wafunga buti bwanaa , bora wabadirishwe wawe polisi wakabiliane na uharifu unaotukumbuka. Nafikiri kutokana na ufinyu wetu wa bajeti hii itasaidia sana, binafsi kwa nchi kama yetu polisi na wananajeshi wanatakiwa wawe hao hao ili ku-centralize malighafi.
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  MkamaP,
  Vita si lelemama. Angalau kazi waliyotumwa waliimaliza.
   
 4. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Sasa tatizo lako ni lipi? Wanajeshi wetu walikwenda Comoro kumdhibiti muasi aliyekuwa anang'ang'ania kuimega nchi ya Comoro kwa kukitangaza kisiwa cha Anjouan kuwa si sehemu ya Comoro na yeye ndiye rais wa Anjouan. Kazi hiyo waliifanya kwa ushujaa mkubwa. Kama nakumbuka vizuri ni mwanajeshi wetu mmoja ndiye alikufa kwa kuzama majini. Na hiyo kazi ilifanywa chini ya Umoja wa Afrika. Sasa hoja ya kuvunja jeshi la ulinzi na kuliunganisha au kulifanya jeshi la polisi ni ipi? Kosa lao ni nini? Tuelimishe.
   
 5. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Hoja yangu
  Technically unaona hawana tofauti na polisi.
  Pili kwa sasa hawana kazi ya kufanya, for almost 30 years, na near future kama miaka 30 zijazo watakuwa hawana kazi. Wakati tunalia na upungufu wa fedha na vitendea kazi kwa polisi, hawa watu wanavyo vya kujitosheleza kabisa na ambavyo vimelala tu mle na vina expire kwa kuripua wananchi wema.

  Tatu kutokana na kulala kwake wenda ndo source ya ujambazi. Hivyo basi mie naonelea ili kutumia malighafi vizuri hawa jamaa wafanye kazi za polisi, kama ikitokea ndivyo sivyo wote kwa pamoja watalinda usalama wa nchi.

  Angalia chukulia profesa ambao wapo wengi kupita kiasi na hawana kazi ila wanalipwa mshahara kwa kuwa eti ni maprofesa tu, je kuna kosa kuwatumia hawa ma prof kufundisha sekondari na shule za misingi na kuwapa mshahara wao ule ule amabao walikuwa wanalipwa bila kufanya chochote.?
   
 6. doup

  doup JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  kwa nini wasiende Somaria? Somaria kwa kutokuwa na serikali maharamia wananza kuteka meri hadi karibu kabisa na pwani ya Tanzania. AU imeomba majeshi mara ngapi?. Ujambazi unachangiwa kidogo na hawa si kuna jamaa pale lugalo ghara la siraa alikuwa anakodisha risasi kama sio siraa kwa majambazi, zinatutesa mtaani
   
 7. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Ndio maana nasema tunawekeza huko fedha bila kuzitumia, kwa hali tuliyonayo sasa hatuna vita, kwanini wanajeshi wabaki kufyeka nyasi kwa makwanja wakati kuna majambazi ambao kwa wingi wao watakabiliana nayo vizuri.?

  Mimi nafikiri hili swala tuliangalieni vizuri, badala ya kuwatuma commoro sijui lebanon, sijui huo ndo usalama wa taifa la tanzania huko commoro na lebanoni. Ukweli hawa jamaa wanalipwa fedha nyingi wakati wapo IDLE takrabani miaka 30 sasa.
   
Loading...