Wakuu mwenye CV/ maelezo ya kina kumhusu huyu Mchungaji aiweke jamvini tumfahamu huyu Mheshimiwa. Binafsi nimeshindwa kumuelewa/kumsoma ni Mwanasiasa wa aina gani
Katika gazeti la Majira la tarehe 04.08.2010, Bw. Paul Mhozya amepinga Mahakamani Kikwete kugombea Urais 2010 Kwa sababu ya matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji wa fedha za umma katika safari za...
05 August 2010
Joyce Joliga, Songea
WAFUASI wa Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema Dk Willibrod Slaa na wale wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokuwa wakisubiri kumdhamini Rais Jakaya Kikwete...
Mie ndiye muajiri mkuu nisikilizeni mimi, msimsikilize Mgaya (Kaimu Katibu
Mkuu TUCTA) mtafukuzwa kazi wala Mgaya hamtamuona! Mtapoteza haki zenu…akili ni
nywele kila mtu ana zake mtu...
Kweli huu ni uchaguzi wa mwaka ama wa historiah
Huko Tanga habari zinasema naibu meya wa ccm ameamua kujiuzuru baada ya kuona rafu za ajabu zikitendeka na wazi wazi uongozi wa juu ukibariki...
:crying:Wapendwa,
Kwa TZS 100,000 watu 100 JF tunaweza kuandaa mdahalo wa urais.
Muda wa kupiga domo umekwisha je? Tunataka na mwaka huu kusiwe na mdahalo kama 2010? Je unadhani kuna mtu...
Slaa awaambia wafanyakazi, Nazitaka kura zenu
Thursday, 05 August 2010 06:36
Baptist Mapunda,Songea na
Charles Mwakipesile, Mbeya
MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia...
Jully 2010
DONOR FUNDED PROJECTS
Hospital to benefit from Sh30m drug
IMA World Health has donated drugs worth Sh30 million to the Ocean Road Cancer Institute (ORCI) for treatment of burkits'...
Ukifikiria kwa haraka haraka, namna watu maarufu walivyoshindwa katika chaguzi za CCM unaweza ukahitimisha kuwa wananchi wameamua kubadilika. Lakini huu ni upande mmoja tu wa angalizo. Upande...
Nawashauri wapambanaji wa ufisadi walioangushwa kwenye kura za maoni wajiunge na vyama vingine na wakagombee ubunge kwenye majimbo ambayo wagombea wake ni utata
mfano:
Selelii akagombee igunga...
BAADHI yetu hatuna kawaida ya kuunga mkono wanasiasa kwa kiwango tunachoonyesha sasa kwa Dk. Wilbrod Slaa.
Wanasiasa ni vigeugeu; wengi ni wasanii na mafisadi. Watakutumia leo...
Hamjambo Watu Wazuri,
Nilisoma juu ya "ubuntu." Bado ni tumilia mazungumzo ya kila siku au ni oni ya historia tu?
Nafahamu ubuntu kama "mimi ni mtu kwa wengine watu tu, mimi si mtu bila...
Hivi majuzi tu huyu bwana alisema yaliyopo hapa chini, wengi sana tukaumizwa kwa ulevi huu na jeuri. Tukajiuliza anatoa wapi jeuri ya kejeli hii?
Je, watanzania, tutakumbuka ufinyu wa fikra...
Wengi tumesikia jinsi vigogo wa CCM walivyotoswa katika kura za maoni... japo NEC ndo itatoa jina la mwisho.Zoezi hili la kuteua wagombea nafasi za ubunge kwa upande wa vyama vya upinzani nahisi...
Kama kuna kitu ambacho CCM watakuja kukijutia maishani ni kitendo chao cha kubadilisha mtindo wao wa zamani wa kumpata mgombea na kuanzisha mtindo huu mpya wa kura za maoni wakati uchaguzi mkuu...
Kura zachomwa moto Singida
Thursday, 05 August 2010 06:30
Na Kitiko Mpacha, Singida
JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu wanne wakazi wa Kijiji cha Iglansoni Kata ya Muhintiri...