Mkeshahoi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 2,469
- 288
Wengi tumesikia jinsi vigogo wa CCM walivyotoswa katika kura za maoni... japo NEC ndo itatoa jina la mwisho.Zoezi hili la kuteua wagombea nafasi za ubunge kwa upande wa vyama vya upinzani nahisi linaenda kwa ukimya fulani.
Vyama vya upinzani yabidi viwe makini na wimbi la wanaCCM wanaohamia vyama vyao kwa sababu ya njaa zao za madaraka na tamaa za kuiba na wala si kuwakilisha wananchi...!!wawatose kama alivyofanywa Mpendazoe!!!
Tunahitaji wawakilishi wa kweli watakaofanya kazi majimboni na sio waliojazana Dar es salaam na kujifungia na vimada mahotelini.